kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  2. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  3. Iris154712

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Mitambo ya Ujenzi kutoka China? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Utapeli

    Salamu zenu, wenzangu. Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu? Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Foot School TV: Chaneli Bora ya Soka Iliyotufunza Ufundi

    Kwa wale wahenga ambao tulikutananna harakati za Mchina kuingia kwenye soko laa kuuza visimbusi vyake basi tutakuwa tunakumbuka namna ambavyo Kampuni ya StarTimes ilivyoingia nchini. Mwaka 2009 mpaka 2010 wakati watoto Wa Madiba wapo busy kuandaa michuano ya Kombe la Dunia. Basi StarTimes naye...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Warsame: Tunaongeza nguvu ya ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia (Kilomita 22) kabla ya El Niño

    UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rashal Energies...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

    Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania My 6 Dream Sedans kutoka Japan, USA na China!

    Kila mtu ana mapenzi yake, me napenda sana sedans. Kusema kweli hizi hapa ndio list ya sedans ninazozipenda. 1. Honda Accord 2023 au Insight 2022 (Japanese) Hizi ndio cheaper option. Mil 20-40 pamoja na TRA unaweza kupata. Sema Accord iyo expensive. Hybrid, New Technology, Reliable...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Dah bongo inachekesha sana https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr Bongo nyoso
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika wameanza kuzipuuzia dini za Wazungu na Waarabu

    Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ukitaka kununua ngozi ya chui au simba kutoka Maliasili?

    Wakuu kwema.. Nani anazijua taratibu za kununua vitu vya asili pale maliasili kama vile ngozi ya Simba, Chui, na kadhalika. Gharama zake je, zipoje?
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania P.Didy kutoka gerezani mapema baada ya tarehe kubadilishwa

    Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine. Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imeweka mikakati gani kuwasaidia Watanzania wanaorudi kutoka Afrika Kusini?

    Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu? Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
  16. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

    The Jerusalem post Agosti 30, 2026. Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa...
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki afungua kesi akidai fidia ya bilioni 5 kutoka kwa Ostadh Juma na Musoma

    Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake. Akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu kesi hiyo, Wakili Mashaka Ngole, anayemwakilisha Sheikh Kishki...
  18. _-_-_-

    JamiiForums Tanzania Innovation Week Tanzania 2026: Baada ya Uzinduzi wa Jana JNICC, Je Tunavuka kutoka Mipango (Dira 2050) kwenda Utekelezaji?

    Wana-Jamii, Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity." Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
  19. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Tume kutoka kuzimu yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

    Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
Back
Top Bottom