Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 18,000/=
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 2,000/= tu.
Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
Ndugu wanajamii,
Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.
Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni.
Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio bajeti kubwa kuliko zote ikifuatiwa na bajeti ya Wizara ya Afya na huku Nishati na Kilimo zikifuatia...
Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn.
Mwaka 2024 umeshuhudia mafanikio makubwa katika sekta ya utalii nchini Tanzania, yakijieleza kupitia ukuaji wa...
Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa sababu nyingine tofauti.
Tunaelekezwa kuwa tutumie mfumo wa ESS, wengi wetu tumezingatia hilo...
ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili tunaposema CCM na Rais Samia wanachapa kazi muwe mnatuelewa,Benki ya Dunia sio CCM.
Hata kama mnapiga kelele ila mfahamu umasikini wa msosi Tanzania kwa mujibu wa...
===
Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025.
Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud?
Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili
1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili
2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
Wakuu!
Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌
Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika".
Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...
ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa chini ya Rais Samia...
Habari wapendwa! 🖐️
Nina mashuka bora za kisasa kutoka Thailand, zinazotengenezwa kwa cotton ya ubora wa juu.
Aina za mashuka na bei:
1. Thailand Bed Sheet
Size: 7/8
Shuka: 2
Foronya: 4
Bei: TZS 27,000
2. Shuka Nyeupe zenye Mistari
Shuka: 2
Foronya: 4
Bei: TZS 30,000
3. Shuka Pazia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.