kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Hyrax

    Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  2. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  3. M

    Omba usikutane na kichapo kutoka kwa migambo, hata wajeda hawaoni ndani

    Wazee kuna hawa watu wanaitwa migambo (kesho la akina). Naomba niulize hivi anayemfundisha mgambo si ni mjeda? Inakuwaje hawa migambo wanakuwa na uwezo wa kutembea kichapo naweza kusema hata kuwazidi wajeda? Mwaka 2023 nilipoenda home kutembea nilikuta kuna changamoto moja ya wizi uliokithiri...
  4. Damaso

    Kutoka Maktaba: Tulia kabla hajawa Spika

    Kwenye pita pita nikakutana na pisi kali moja nikajiuliza huyu ni nani? Kumbe ni Dr. Tulia. Kipindi hicho bado hajapata wadhifa mkubwa na pesa hazijaanza kuingia, alikuwa ni manzi mkali aisee.
  5. mcTobby

    Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

    Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status? Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    Nyumba inauzwa,ipo Mbweni Dar es salaam Tanzania, nyumba ni mpya ni ya kwanza kutoka barabara ya lami, bei ni billion 1,

    HOUSE FOR SALE Location: Mbweni JKT
Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,860
Umiliki: Hati miliki ipo, eneo lina hati mbili-eneo moja limejengwa jingine lipo wazi. 💰 Bei: TZS Bilioni 1 kwa hati zote mbili Sifa za Nyumba: #Vyumba 4 vyote ni master bedrooms (vina makabati) #Balcony mbili Sea View...
  7. Yoda

    Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  8. ngara23

    CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  9. Hyrax

    Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  10. Lord Denning

    Aibu kwa Mhimili wa Mahakama: Kutoka kutumiwa kama kielelezo cha Utetezi wa Haki hadi kutumiwa kama kielelezo cha kuminya Haki

    Miaka ya 2000 hadi 2012 tuliofanikiwa kwenda kwenye Makongamano mbalimbali ya Masuala ya Haki, Afrika na Duniani kwa Ujumla tulikuwa tunaona ufahari mkubwa kujitambulisha kuwa tunatokea Tanzania kutokana na Maamuzi makini yanayotetea Haki za Binadamu na sanity kwenye Utawala wa Sheria yaliyokuwa...
  11. W

    Trump Aamuru Ushuru Mpya kwa India Kufikia Asilimia 50 kwa Sababu ya Kununua Mafuta kutoka Urusi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
  12. Benson Mramba

    Je Magufuli aliwafanya wanamtandao kutoka kuwa wanasiasa hadi kuwa genge?

    Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo. Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo...
  13. wasumu

    Kutoka democracy kwenda theocracy ndio jawabu la matatizo ya binadamu

    KUTOKA DEMOKRASIA HADI THEOKRASIA MPITO WA KIUNGU UMEFUNULIWA NA KIONGOZI OLUMBA OLUMBA OBU “Zamani ya utawala wa mwanadamu imekwisha. Theokrasia, serikali ya moja kwa moja ya Mungu, sasa imetawazwa juu ya mataifa yote.” Kiongozi Olumba Olumba Obu Demokrasia ni Nini? Mfumo wa serikali...
  14. kavulata

    Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  15. Heritage123

    Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  16. Liverpool VPN

    Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  17. GemMaster II

    GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake...
  19. jerry spare parts service

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services!

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services! Kuna wakati mwingine tunatoka safari ndefu au hata safari za kila siku, halafu ghafla gari linakataa kuwaka au linazima katikati ya barabara. Unapofungua bonnet au kufika...
  20. M

    RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
Back
Top Bottom