kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ujerumani wamenunua silaha kutoka Israel

    BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel. Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TCRA: Watumiaji wa Huduma ya Intaneti wameongezeka kutoka Milioni 54.1 (Juni 2025) hadi Milioni 56.3 (Septemba 2025) sawa na 4.1%

    Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
  3. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Sword of Iron’ hadi ‘War of Revival”

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita vita vya Gaza jina jipya “Vita vya Uamsho” licha ya upinzani kutoka kwa familia za mateka na...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wamebadirisha mfumo wa usajili wa magari kutoka Z123AB kwenda Z123ABC!

    Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili. Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa. Kwahiyo huko unaweza...
  7. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

    Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii: 0x80070057
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani. Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza. naombeni msaada...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

    Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji.. Sasa machaguo ni mawili; 1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
  12. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na Rushwa

    Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
  13. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

    Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
  14. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  15. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Thobias Mwesigwa: Kutoka kwenye familia masikini hadi kuwa 'Mratibu wa Utekaji'

    Ni usiku wa manane hapa Trump land, lakini Sina usingizi kabisa naiwaza nchi yangu. Leo naomba mmjue huyu Thobias aliyegeuka kuwa kilio kwa familia nyingi. Tobias Richard Mwesigwa alizaliwa katika kitongoji cha Nyarubanja, Kijiji Cha Rukurungo, kata ya Bugandika, wilaya ya Missenyi, mkoani...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Balozi ajitupa kutoka Ghorofa ya 22 ktk Hoteli jijini Paris, na Kupoteza Maisha

    Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

    Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani 1. Wa kutiki 2. Wa kutoka Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025 Namna ya kupiga kura 1. Tunatiki 2.Tunatoka Au 1. ⚒ 2.✌🏿 NB: Kura za mitandaoni huamua...
Back
Top Bottom