kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anahitaji nini kutoka kwa Mwanaume?

    Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?" Akakutana na vitu 2.000, Akatabasamu, Kisha akakichoma. Kwa nini? Kwa sababu katika asili, Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji. Ndege, Wanyama, Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania R Kelly kutoka Gerezani mwaka 2045

    Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78! Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 9 ikiwemo mashtaka ya unyanyasaji wa kingono...
  4. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Safari ya Moteswa: Kutoka Kwenye Ndoa Hadi Kuwa Madada poa

    Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye akaja kwenye mfumo. Basi nikaona sio mbaya kumuoa, iliwekwa mikakati ya ndoa hatimaye nikamuoa kipenzi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za nguvu za kiume kutoka "sanitarium clinicks", ni tiba ya kweli?

    Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki. Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
  6. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

    AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Mpira umeanza Dakika ya 14...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mstaafu Kikwete alipoomba aachwe apumzike

    Hii ilikuwa mwaka 2016 wakati wa zama za JPM ila kwasasa ni kama anaomba aendelee na madaraka!! Nini kimemkuta mstaafu JK?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal...
  11. Dirspartan

    JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

    Tafadhari 🙏wana JamiiForums, naomba kuelekezwa njia kufika Meatu nikiwa natokea Ushirombo Bukombe DC
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

    Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe) Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali. Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you! Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
  13. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Karibu katika jarida la Uchumi Wetu toleo la tatu kutoka BOT

    Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa sheria. Katika toleo hili, utapata taarifa kwa kina kuhusu shughuli na majukumu ya Benki Kuu Ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali tumezidiwa tujifunze kutoka Kenya

    Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza 1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
  16. Sabosojr

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye uhitaji huduma za kodi TRA, barua kutoka TRA na mambo yote ya Kodi

    Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️ Huduma zetu ⚖️ 1. Ushauri WA kodi ✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March) ✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December) ✓ Ukaguzi WA kodi ✓ kufanya mapingamizi ya KODI ✓ kusajili VAT 2. Huduma nyinginezo ✓ leseni za biashara...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya kutoka nje ya Tanzania yameongezeka

    Mauzo na UTU
  19. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haipaswi kufanya chaguo chini ya shinikizo kutoka kwa nchi kubwa

  20. N

    JamiiForums Tanzania Fundisho kutoka Iran

    Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama, Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa...
Back
Top Bottom