kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kutoa ushuzi unapotaka kutoka

    Should You Hold in Your Farts? Medically reviewed by Cynthia Taylor Chavoustie, MPAS, PA-C — Written by Erica Cirino on May 20, 2020 Is it bad or healthy? Side effects of holding it in Prevention How to hold in a fart When farting is a problem Summary When your body builds up excess gas...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

    Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo. Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa. Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia ukiibipu kwenye maendeleo inakupigia, tutekeleze majukumu yetu na kutoa taarifa

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA. Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia ukiiambia unataka madarasa mawili au matatu yote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  6. Procurer

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  8. masara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa Zanzibar, IGP na Mzee Boazi watakubali kufika mahakamani kutoa ushahidi au Jaji atakataa wasiletwe Mahakamani?

    Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao 1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

    Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine. Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
  14. L

    JamiiForums Tanzania China kuisaidia Kenya kutoa chanjo kwa watu milioni 19 ifikapo Juni 2022

    Na Tom Wanjala Serikali ya Kenya imesema iko mbioni kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Corona kwa Wakenya wasiopungua milioni 19 ifikapo mwezi Juni mwaka huu. Taarifa hii inakuja wakati ambapo Wakenya wengi wanazidi kujitokeza katika vituo vya utoaji chanjo kufuatia serikali kuhamasisha kuwa kila...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje iwapo Shahidi Swila ambaye inaonesha ni Mpelelezi Mkuu asipoweza kuendelea kutoa ushahidi wake?

    Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine. Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na...
  16. kayeja jr

    JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  17. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
  18. w0rM

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria mbalimbali kufanyika Bungeni: Wananchi waalikwa kutoa maoni yao (Pitia mabadiliko hapa)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 7) Act, 2021. Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing)...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zipi hazihitaji kutoa na kudai risiti?

    Je kuuza kipande kimoja Cha sabuni nitoe risiti na mnunuI adai risiti?
  20. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
Back
Top Bottom