Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,820
35,827
Kumekucha.

Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta:

IMG_20220412_072036_717.jpg

Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika.

Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali.

Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka kutupoteza maboya, itakuwa ni hatua njema sana. Kwani kimsingi udhwalimu huu haukubaliki.

Watu kama hao ni wazi kuwa hawatufai.

Tuungane kuwakataa wahuni.

-------------
Tulikotoka:

Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
 
Kumekucha.

Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao tayari yamewakuta:

View attachment 2184654

Habari hii inazunguka kama moto wa nyika sasa.

Hii ni kumhusu dogo aliyewekwa mtu kati hadi kumbuka mjomba katika familia si serikali.

Kama itakuwa si wao wenyewe katika kutaka kutupoteza maboya, itakuwa ni hatua njema sana kwani, kimsingi udhwalimu haukubaliki.

Watu kama hao hawatufai.

safi.Likimkuta mwenzako usishangiliye fatilia mazingira msaidiye mana kesho kwako.
 
Likimkuta dhwalimu tunashangilia sana tu. Likimkuta mhanga tunalia naye kama unavyoona.

Tunalia na dogo kwani kaonewa na linaweza tukuta hata sisi kesho.

Sisi na uonevu wapi na wapi? Litukute vipi la kumwonea nani?

Dogo aimarishiwe ulinzi ninyi si wema.
 
Kumekucha.

Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao tayari yamewakuta:

View attachment 2184654

Habari hii inazunguka kama moto wa nyika sasa.

Hii ni kumhusu dogo aliyewekwa mtu kati hadi kumbuka mjomba katika familia si serikali.

Kama itakuwa si wao wenyewe katika kutaka kutupoteza maboya, itakuwa ni hatua njema sana kwani, kimsingi udhwalimu haukubaliki.

Watu kama hao hawatufai.

Tuungane kuwakataa wahuni.

-------------
Tulikotoka:

Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Kama kweli ni jambo jema.. wacha wahuni wafurushwe
 
Kwa ukubwa, vyeo na mamlaka walionayo hao jamaa hawakupashwa kutenda waliyotenda, tunategemea kwa level zao wawe na hekima+busara kwenye kudeal na mambo..

kwa wengine namna walivyohandle lile suala pale, inatutisha juu ya weledi wao kwenye kazi nyeti na majukumu nyeti tuliyowapa..

Waliapaswa kumsimamisha kijana na kumuamulu apark pembeni sio ndani ya ofisi nyeti, apark pembeni mbali kabisa na hiyo ofisi....kama kweli walimkosea dogo wangemuomba samahani ila kama dogo alikosea basi wangemueleza makosa yake na wamsikilize response yake, ikiwa negative waite polisi waje wafanye vipimo na kutoa conclusion..

Tukiwa vyeo na mamlaka tuvitumie vizuri na kwa haki, Ukiwa na cheo basi tambu ni mtihani Mungu amekupa, utumie huo mtihani kumfurahisha Mungu muumba usishupaze shingo...
 
Umedadavua vyema.

Cc: watu msiojulikana
 
Hakuna namna wangepona.... Idara haipendi nzi, hawa jamaa wameleta nzi! Kitendo cha ile video kutoka tu, ilishakuwa ndio mwisho wao.
 
Hao vijana wa TISS wabadilike
Kumekucha.

Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao tayari yamewakuta:

View attachment 2184654

Habari hii inazunguka kama moto wa nyika kwa sasa.

Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala hata si serikali.

Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka kutupoteza maboya, itakuwa ni hatua njema sana. Kwani kimsingi udhwalimu huu haukubaliki.

Watu kama hao ni wazi kuwa hawatufai.

Tuungane kuwakataa wahuni.

-------------
Tulikotoka:

Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Hao vijana wa TISS wabadilike.
Dunia ya sasa hivi ni ya utandawazi, kufanya uhuni mchana kweupe dunia itakuona na hutakuwa na mahali pa kujificha.
Hali ya kazi za TSS na vyombo vingine vinavyohitaji usiri imebadilika kabisa katika miaka ya karibuni.
Vile vile wajue kuwa ile hali ya kuwa juu ya sheria kama wakati wa mwendazake sasa haipo kabisa.
Mtu utajizolea kesi isiyohusiana na malego ya kazi ya Idara yako , na kupoteza kibarua kijinga kabisa.
 
Hakuwa jambazi, alikuwa anaisema serikali ya Mwalimu vibaya.

Munishi na Shehe Yahaya wakafukuzwa nchini, ni kama aliwaombea uraia kwa mzee jomo Kenyatta.

Huo ujambazi alikuibia nini? mwanangu
Unaufahamu wimbo wake murua wa malebo toto la magurumbasi , musishi anadai walikuwa majambazi hadi akapigwa na kukatwa kidole malebo akang'olewa meno na n. K nakuita malebo

USSR
 
Kwa ukubwa, vyeo na mamlaka walionayo hao jamaa hawakupashwa kutenda waliyotenda, tunategemea kwa level zao wawe na hekima+busara kwenye kudeal na mambo..

kwa wengine namna walivyohandle lile suala pale, inatutisha juu ya weledi wao kwenye kazi nyeti na majukumu nyeti tuliyowapa..

Waliapaswa kumsimamisha kijana na kumuamulu apark pembeni sio ndani ya ofisi nyeti, apark pembeni mbali kabisa na hiyo ofisi....kama kweli walimkosea dogo wangemuomba samahani ila kama dogo alikosea basi wangemueleza makosa yake na wamsikilize response yake, ikiwa negative waite polisi waje wafanye vipimo na kutoa conclusion..

Tukiwa vyeo na mamlaka tuvitumie vizuri na kwa haki, Ukiwa na cheo basi tambu ni mtihani Mungu amekupa, utumie huo mtihani kumfurahisha Mungu muumba usishupaze shingo...
Na pia kama ni makosa ya kawaida madogomadogo ya barabarani wangeweza kumpuuza tu.
 
Back
Top Bottom