MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba la migomba akiwa mtupu na baadhi ya majeraha mwilini ikiwemo ya kung’atwa na meno huku akidaiwa kuuawa na hawara yake (mchepuko).
Mwili huo ulipatikana jana...
Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni.
Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa.
Mfano:
NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo
(i). Why Physics...
Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake.
CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe.
Sio Lazima...
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki...
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
Msaidizi wa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha ACP J. Kaijanante ametoa wito kwa jamii kushirikiana na jeshi la polisi katika kupambana na vitendo vya kikatili kwa kutoa taarifa za vitendo hivyo katika vituo vya jeshi hilo.
Pia wadau wa haki za wanawake na watoto wemeaswa kutorudi...
Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021
Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
Muungano wa chanjo ulimwenguni wa Gavi Alhamisi umesema kwamba bodi yake imeidhinisha dola milioni 155.7, kuelekea zoezi la utoaji wa chajo za kwanza za malaria kwa watoto kwenye mataifa yalioko chini ya jangwa la Sahara barani Afrika.
Mwenyekiti wake Jose Manuel Barroso ameeleza kufurahishwa...
Ukizungumza unyanyasaji wa kijinsia wengi huwaza wa upande mmoja, kwamba ni dhidi ya mwanamke lakini uhalisia ni tofauti kwani hata wanaume hunyanyaswa isipokuwa si wepesi kuzungumza.
Hayo yalielezwa mapema wiki hii wakati wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia lilioandaliwa na Norwegian...
Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa?
Naombeni msaada viongozi.
Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kuwa itaanza kutoa dozi ya tatu kwa wazee na wale ambao wana maradhinyemelezi kuanzia leo Jumanne.
Wizara hiyo inasema utekelezaji huo utafanywa kwa awamu na utaanza katika mji mkuu, Kigali.
Waziri wa nchi wa Rwanda anayehusika na huduma za afya ya msingi...
Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing).
Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:
NAKALA YA TIN CERTIFICATE
NAKALA YA KITAMBULISHO
BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani.
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.