Vipele baada ya kunyoa nywele sehemu za siri (Mavuzi): Matibabu na Dawa/mafuta ya kupaka ili kuzuia vipele na weusi

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
Wakuu nawasilimieni nyote,

Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu,

Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na madhara ya kutumia kumpaka shemeji/wifi yenu ili kuzuia vipele na weusi aneo letu (lake) la ikulu baada ya kufanya usafi wa eneo hilo kwa kupunguza na kuondoa nywele za eneo la papuchi, lengo ni kuboresha mazingira na afya ya eneo hilo jema.

Natangaliza shukrani.
 
Daah lengo ni kuboresha eneo pendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipele vinasababishwa na shaver anayotumia..... mwambie abadilishe shaver anayotumia. Ngozi ikiwa irritated inatoa vipele

Weusi unasababishwa na vingi, msuguano, kutokupaka mafuta na mengineyo.

Anaweza kutumia natural remedies....nenda youtube u search "how to whiten underams" au huko unapotaka .... utapata natural remedies nyingi za kufanya hivyo.

I dont advise creams and such hasa kwa hapa bongo 95% ya products ni fake. Asije akapata matatizo

Nakushukuru!
 
Wakuu naona kimya bado, basi msiache kunijazi kwa elimu hiyo!
Aachane na viwembe/shaver afanye waxing
U may google kujua zaidi kuhusu waxing
Dar saluni nzuri za wahindi

Baadhi ya ngozi zetu jamani hazitaki shuruba ya viwembe kama yangu jmn siwezi nyoa na wembe/shaver
Mara mia nizipunguze juu juu na mkasi
 
Hio waxing inasaidia mtu hupati vipele kama ukipata basi vitakua vichache mnoo sio kama ukitumia wembe

Kuhusu weusi mi natumia mafuta ya Cocoa Butter mazito yanasaidia kulainisha na kutoa weusi

Pia avae skin tight kuepuka msuguano wa mapaja na chupi isimbane na kutengeneza weusi

Scrub pia inasaidia mnoo
Nyepesi for full body natumia sukari mix asali na olive oil kwa mbalii sn
 
Apakae mafuta mafuta ya nazi kila anapomaliza kujifanyia usafi..hata hivyo atumie wax ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom