Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .
Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia.
Chief-Mkwawa et al
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi.
Aidha, amewataka kuepukana na kasumba ya kupigana fitna na tabia ya watu wenye uwezo ndani ya chama kupigwa vita ili kuwarudisha nyuma...
Habari za jioni wapendwa katika bwana.
Jamii nyingi za Kiafrika wanao utaratibu wa mwanaume kutoa mahari ili aweze kumuoa binti.
Baadhi ya watu husema mahari ni kama shukurani kwa wazazi wa mke, je hawa wazazi wamume ambao wamezaa kichwa cha familia mbona hawapewi shukurani?
Naomba...
Lewis ambaye ni mshindi mara saba wa Formula 1 world champion na Serena ni mshindi wa 23 tennis grand slam singles titles. Wameungana na wengine watatu pamoja na mwenyewe Sir Martin Broughton aliyekuwa mchezaji wa Liverpool kutaka kuinunua club ya Chelsea.
Kila mmoja amechangia £10M
Hii ni...
Wakuu nawasilimieni nyote,
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu,
Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na madhara ya kutumia kumpaka shemeji/wifi yenu ili kuzuia vipele na weusi aneo letu (lake) la ikulu baada...
Hello JF
Leo nimeona ni jambo jema kwa Rais wetu kutoa/medal kwa watu wanaoenda extra mile kuigusa/hudumia jamii...
Criteria ..awe nayo yeye mwenyewe...
Nimesukumwa kuandika mada hii baada ya kusoma habari hii ya Mganga wa Kienyeji kujenga madarasa mawili huko Simiyu>>>>>>>> madarasa mawili...
Kumekucha.
Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta:
Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika.
Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali.
Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka...
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia.
Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...
Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo.
Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
Habari wakuu,
Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza.
Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha;
Shipping lines=150,000
Wharfage =115,000
Port charges =250,000
Plate number =30,000...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania - Iringa).
Maamuzi ya Mahakama Kuu yaliona kuwa jamhuri walishindwa kuthibitisha kesi yao pasipo...
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.
Imepitwa na wakati.
Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.
Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
1. Elewa hitaji la mteja
Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia.
2. Jitosheleze kihuduma
Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
Should You Hold in Your Farts?
Medically reviewed by Cynthia Taylor Chavoustie, MPAS, PA-C — Written by Erica Cirino on May 20, 2020
Is it bad or healthy?
Side effects of holding it in
Prevention
How to hold in a fart
When farting is a problem
Summary
When your body builds up excess gas...
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.
Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.
Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa.
Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA.
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia ukiiambia unataka madarasa mawili au matatu yote...
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.