kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  2. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  4. Doto12

    JamiiForums Tanzania UDART kama mna nia ya kutoa huduma toeni hizi nauli ni upokaji

    Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona. Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
  5. YoyoTheDeveloper

    JamiiForums Tanzania Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada

    Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia. Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ipo baraka katika kutoa

    Good morning Familia, Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10...
  10. Hamud1988

    JamiiForums Tanzania Changamoto zipi Jamii (wazazi na wanafunzi) hupitia kipindi wakisubiri baraza la mitihani NECTA lisahihishe na kutoa matokeo ya mitihani ya wanafunzi?

    Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
  11. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Ni halali kutoa sadaka kwa hela za kubet?

    Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania KCMC na TPC waungana kutoa huduma za kitabibu

    MADAKTARI BINGWA KCMC KUTUOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITAL YA TPC Moshi. Hospital yenye hadhi ya nyota nne inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari cha TPC,ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuingia makubaliano ya ushirikiano na Hospital ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutumia madaktari...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

    Ni namna gani unaweza kumueleza mwenzi wako, mathalani kwenye tupu, mdomoni, maskioni, kichwani, puani, kwapani, miguuni au mwilini kwa ujumla kwamba kunatao hewa na harufu kali na ngumu kuivumilia wala kuistahimili na asiweze kujiskia vibaya?
  14. Gabby msafi

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

    Kwema, Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫 Msaada please.
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

    EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
Back
Top Bottom