YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 37
- 44
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
Kwani hauna kadi mkuu. Kama una kadi iwe virtual au physical niambie nikupe formula ya kutoa ela hyoHabari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa.
Ahsanteni.
Hapana kadi sina aseeKwani hauna kadi mkuu. Kama una kadi iwe virtual au physical niambie nikupe formula ya kutoa ela hyo
Omba wakupatie hata virtual mastercard kama umekamilisha verification kufikia kesho unaipata. Kisha iunge mpesa au airtel kwa app utaweza kutoa pesa yako instatntly. Makato ni asilimia 5 ya ela unayotoa na airtel wana rate ya 2500 per dollarHapana kadi sina asee
Ndo bank gani hapo Dar?Habari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa.
Ahsanteni.
Habari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa.
Ahsanteni.
emu dadavua hapa mkuu mana umeniachaOmba wakupatie hata virtual mastercard kama umekamilisha verification kufikia kesho unaipata. Kisha iunge mpesa au airtel kwa app utaweza kutoa pesa yako instatntly. Makato ni asilimia 5 ya ela unayotoa na airtel wana rate ya 2500 per dollar
Omba wakupatie hata virtual mastercard kama umekamilisha verification kufikia kesho unaipata. Kisha iunge mpesa au airtel kwa app utaweza kutoa pesa yako instatntly. Makato ni asilimia 5 ya ela unayotoa na airtel wana rate ya 2500 per dollar
Process ndefu naonaGarama za SWIFT Transfer (Bank Transfer) ni kubwa mno kiasi kuanzia $10 - $700 ni $15.
Kuanzia $701 na kuendelea wana charge 1.5%.
Sasa hapo walio wengi ni ngumu kifikisha zaidi ya $700 labda uwekeleze pesa mpaka zifike $701 ndipo utoe kwa bank transfer.
Njia ambayo huwa naona ni nzuri.
1. Omba virtual card ya EUR, kisha exchange pesa kutoka USD to EUR nadhani wana charge 1.5%
Baada ya hapo tumia Binance USDT kudeposit kwa card ya virtual. Kisha nenda P2P sell USDT zako kwa Mobile Money.
2. Unaweza tumia Paxful au crypto exchange yoyote ile ambayo Ina traders wanao pokea pesa kwa Payoneer kisha weka offer yako na watumie USD zako wao watakupa USDT kisha sell kwenda Mobile Money. Japo njia hii itahitaji Payoneer account yako iwe ilisha wahi kupokea kiasi kisicho pungua USD 500, ndipo watakupa access ya kutumia pesa kwa Payoneer account nyingine kwa muamala uupendao.
Ni hayo tu ndugu.
Wameacha siku hizi haipo... Hapo inafaaa uwe na line ya safaricom tu utumie skrill to safaricom from mastercard then to your local mobile wallethii njia inagoma mkuu mbona
Skrill ndo njia rahisi, ukiwa na account skrill unaweza kuhamisha kwenye laini yako ya Airtel ukala mpunga.Ccm na mwigulu munaona vijana wanafanya kazi za online, ila wanashindwa kupokea pesa zao.