Tujitahidi kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia.

Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno la mungu litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka.

Nawasilisha
 
Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu,masheikh na waubiri kufanya kazi partial.Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno lake litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka..nawasilisha
maadili gani unasemea mkuu
Kumbuka ile familia ya kwanza Ya Adam na Hawa, kaka mtu alimuua mdogo wake
kumbuka mambo ya sodoma na gomora, kumbuka garika. kote huko ni utovu wa maadili
Kumbuka kisa cha watoto wa Yakobo kutaka kumuua mdogo wao, kisha wakamuuza
 
Jamaa alipewa sadaka samaki watatu,akaambiwa nae akawagawe sadaka Kwa watu watatu:

Wakwanza, ampe yule anayemdai deni na kamwe hawezi kumlipa.

Wapili, ampe yule anayedaiwa na yeye ambaye hawezi kulipa(deni analodaiwa)

Watatu, ampe yule ambaye chochote akipewa hawezi kushukuru.

Sadaka zinamitihani sana.
 
maadili gani unasemea mkuu
Kumbuka ile familia ya kwanza Ya Adam na Hawa, kaka mtu alimuua mdogo wake
kumbuka mambo ya sodoma na gomora, kumbuka garika. kote huko ni utovu wa maadili
Kumbuka kisa cha watoto wa Yakobo kutaka kumuua mdogo wao, kisha wakamuuza
nyakat za kale kwa baadh ya uma hakuwa wenye kushushiwa kitabu mfano adamu,nuhu n.k
 
Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu,masheikh na waubiri kufanya kazi partial.Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno lake litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka..nawasilisha
Lazima ujue sadaka ni n kwanza na aina zake
Na wapi Kwa kuzitoa ,sio Kila mahali ni salama Kwa kutoa sadaka zako
 
Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu,masheikh na waubiri kufanya kazi partial.Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno lake litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka..nawasilisha
vyuma vimekaza haswa😅
 
Back
Top Bottom