kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau!!

    Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana. Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yabainika kutoa Ksh.147B kinyume cha sheria kutoka kwenye Mfuko wa Pamoja

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Matumizi ya Bajeti Zilizorekebishwa, imefunua jinsi serikali ilivyotumia bilioni 147 za shilingi bila idhini ya Bunge la Kitaifa. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Nancy Gathungu, inaonesha kuwa jumla ya bilioni 595 za shilingi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wakiomba pesa kwa mwanaume wanataka papo kwa papo ila sisi tukiomba mbususu hawataki papo kwa papo. Shetani muomba ajue na kutoa pia

    Salamu kwa wote Nakereka na tabia za mademu unamcheki ili aje ghetto mara pap jibu anaomba elfu 50 au laki, ukimchana kuwa baby nimeamka na nyegezi mdudu yuko juu naomba uje anakuunga na ombi la pesa , ajabu anakazia kutaka ombi lake la pesa lipite ila ukimuungia na ombi la kumwambia chap aje...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti ya TAKUKURU Mkoa wa Ilala: Mkandarasi akatwa zaidi ya milioni 327 kwa kuchelewa kukamilisha mradi wa vyoo vya umma Dar

    https://www.youtube.com/watch?v=GsdrbCwShyU Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) – Mkoa wa Ilala, Sosthenes Kibwengo anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari kwa ajili ya kutoa taarifa ya miezi mitatu, leo Januari 31, 2024. Mkutano huo na Wanahabari unatararajiwa kufanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha HIV/AIDS (Bioline) kinaweza kutoa majibu sahihi hata ukitumia water for injection (maji ya kuchanganyia dawa za sindano) badala ya buffer

    Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo...
  9. JamiiForums Tanzania Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

    Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Benki wameingia cha kike baada ya kutoa mkopo wa 50 Milioni

    Utapeli ni janga kwenye jamii yetu, angalia hapa jinsi jamaa alivyowatapeli Benki mkopo wa 50 Million. Nini maoni yako?
  11. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba TCRA mlinde taarifa zetu kwa apps zinazodai kutoa mikopo.

    Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya. Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube. Nimeileta hii mada hapa kwenye jukwaa hili kwasababu hii mada sio ya kisiasa Bali kuweka wazi kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumuiya za Kimataifa kutoa tamko kuhusu maandamano ya CHADEMA

    Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono. Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  15. JamiiForums Tanzania TCRA mnawezaje kutoa mamlaka kwa kampuni kuingilia mawasiliano ya mtu?

    Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani. Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Lengo ilikuwa kupita tu lakini kanasa na hataki kutoa. Naona hanifai nifanyeje kuliepuka hili?

    Mimi Sexless kazi yangu kubwa hapa mjini ni ukungwi. Natoa ushauri na kusaidia watu wa rika zote kutatua changamoto za mahusiano. Leo nimefikwa na mteja akanipa maelezo yafuatayo: "Kuna siku nilikosea namba akapokea msichana, kwa bahati alikuwa mji ninaoishi. Mahusiano yakanzia hapo. Bado...
  17. JamiiForums Tanzania Maafisa TPA watuhumiwa kupokea rushwa ya $800,000 kutoa tenda ya $6.6m

    Mamlaka za Marekani zimeipiga faini ya dola milioni 222 kampuni ya programu kwa kutoa rushwa katika nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania, nchi nyingine ni Kenya, Afrika Kusini, Ghana, Malawi. Pia zipo Azerbaijan na Indonesia. Maafisa wa mamlaka ya bandari Tanzania(TPA) wanatuhumiwa kupokea...
  18. JamiiForums Tanzania Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  19. JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu mbaya

    Habari zenu, Watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwasema wake zao kuwa hawajui kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

    Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…