TCRA mnawezaje kutoa mamlaka kwa kampuni kuingilia mawasiliano ya mtu?

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,460
9,390
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani.

Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna usalama tena kama ndio hivi nimena nikastuka.
 
Ndio mana hata nida yangu nimetumia usajili feki, jina feki, umri feki, mahali feki, na vitambulisho vyangu vyote havifanani majina kuanzia lesen, kadi ya kliniki, kad ya bank, malipo ya tra, nk kwahy kunipata mm utaitaji utumie nguvu ya ziada ukisema uje mitandaon ndio kabisa lain za simu ninazotumia mm ni za mtu aliekufa miaka mitano nyuma na sio wa mkoa husika ila majina na sura tunafanana pia ninapoish natumia jina lingine, na kazin jina lingine, kwa wazaz jina lingine, kuna boya atauliza yatakukuta matatizo utashindwa kutambulika, ni hv matatzo yalinikuta nilipata ajar nikazima siku mbili alafu ndugu hawajui my take: tafute pesa mulipe madeni.
 
kAbla ya kuchukua huo mkopo kuna sehemu ya terms and conditions ya mkopaji kuibali hiyo ni kielelezo tosha chochote watakachofanya umekubaliana nacho.

Ukilipa kwa wakati kama mlivyokubaliana hayo hayatakukuta.
 
Ndio mana hata nida yangu nimetumia usajili feki, jina feki, umri feki, mahali feki, na vitambulisho vyangu vyote havifanani majina kuanzia lesen, kadi ya kliniki, kad ya bank, malipo ya tra, nk kwahy kunipata mm utaitaji utumie nguvu ya ziada ukisema uje mitandaon ndio kabisa lain za simu ninazotumia mm ni za mtu aliekufa miaka mitano nyuma na sio wa mkoa husika ila majina na sura tunafanana pia ninapoish natumia jina lingine, na kazin jina lingine, kwa wazaz jina lingine, kuna boya atauliza yatakukuta matatizo utashindwa kutambulika, ni hv matatzo yalinikuta nilipata ajar nikazima siku mbili alafu ndugu hawajui my take: tafute pesa mulipe madeni
Nakubali injinia
 
Shida njaa yako ya mkopo imekuponza. Wakati una install appp uliulizwa hivi, Allow app to access your contacts, ukaallow, allow app to access your location uka allow, allow app to access you photos and video uka allow. Hapo mchawi ni wewe siyo TCRA. Subiria waanze kurusha picha zako mtandaoni.
 
wengine hata hawasomi ni kuallow allow tu

Deny hawanaga muda nayo wanakuwa washapagawa na kupata mkopo
 
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani

Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna usalama tena kama ndio hivi nimena nikastuka
Makosa yako wewe kwanza dawa ya deni kulipa. Pili ulipoulizwa je unaruhusu app hii kuangalia namba za simu ulikubali badala ya kukataa

TCRA wala mitandao hawahusiki. Lipa hela za watu uone kama watatumiwa msg.
 
Ndio mana hata nida yangu nimetumia usajili feki, jina feki, umri feki, mahali feki, na vitambulisho vyangu vyote havifanani majina kuanzia lesen, kadi ya kliniki, kad ya bank, malipo ya tra, nk kwahy kunipata mm utaitaji utumie nguvu ya ziada ukisema uje mitandaon ndio kabisa lain za simu ninazotumia mm ni za mtu aliekufa miaka mitano nyuma na sio wa mkoa husika ila majina na sura tunafanana pia ninapoish natumia jina lingine, na kazin jina lingine, kwa wazaz jina lingine, kuna boya atauliza yatakukuta matatizo utashindwa kutambulika, ni hv matatzo yalinikuta nilipata ajar nikazima siku mbili alafu ndugu hawajui my take: tafute pesa mulipe madeni
TCRA wakikutaka wala hawahitaji majina yako wala sura

Tutacheza na ip adress ya device zako tu

Otherwise uwe unabadili simu kila baada ya masaa matatu unatupa unanunua mpya
 
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani

Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna usalama tena kama ndio hivi nimena nikastuka
Wanampigia mpaka Mchepuko mlioachana😁
 
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani

Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna usalama tena kama ndio hivi nimena nikastuka
Mimi kuna siku walinipigia watu wa kukopesha hela sikumbuki jina la kampuni wakaniambia kua wameona ninawasiliana sana na "FULANI" ambae ni mdaiwa wao na wakimpigia hapokei.

Hivyo nimwambie tu kua akiendelea kutopokea watampeleka polisi. Sababu simu yangu Ina Auto-Record nikamtumia tu ile audio.
 
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani

Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna usalama tena kama ndio hivi nimena nikastuka
nafikiri wakati wa settings uliweka permission ya phonebook yako..

hapo kuna kipengele sasa

wananchi wanapofeligi wenyewe kwa udogo wa akili zao binafsi hukimbilia serikalini as if serikalini kuna mtu mwenye akili kubwa kama mungu awasaidie

wanashindwa kuelewa serikalini kuna wajinga wenye low IQ kama zao au chini yao
 
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani

Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna usalama tena kama ndio hivi nimena nikastuka
hapo hiohio app uliotumia kuchukua mkopo inaweza ikawa ndo imetoa taarifa zako shida hamsomagi masharti ya hizo apps
 
Back
Top Bottom