Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100.

Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea na mtu wa huduma kwa wateja

Sasa hili jambo sio fair kabisa #Vodacom Tanzania embu rejesheni izi huduma.

Huu upuuzi sanaa Vodacom Tanzania
 
Huu ujinga ndo ulinitoa voda naenjoy tigo.
Sijui ni mtaalam wa aina gani aliwapa huu ushauri hadi kwenye m pesa.
Nadhan wamevimbiwa faida.
 
2-2-6-2-0
2 - other issues
2 - other problem
6 - report stolen phone or sim card
2 - report stolen phone
0 - finally, they'll ask if you have NIDA ID in order to report stolen phone. Press 0 that you have that information. Hapo utapata fursa ya kuongea na mhudumu wa wa wateja.

Samahani nimetumia kingereza maana mimi ndicho huwa natumia ili kuwapata haraka.
 
Back
Top Bottom