Ni dhahiri kabisa kuwa kuja kwa teknolojia hakujaiacha salama sekta ya uchapishaji wa Magazeti, maana kwa sasa ni rahisi kwa mtu kupata taarifa papohapo tofauti na miaka ya nyuma.
Pamoja na changamoto hii yote lakini bado wapo watu wanaoamini na wanapenda kusoma Magazeti. Kama si Mgeni basi...
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule.
Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.
Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.
Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.
Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu.
Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
Za mchana wakuu,
Kuna dogo kaibuka na haya matokeo
M
25
III
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
Nishaurini,
Anapaswa kusomea nini na wapi?
''Together we always stand''
𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼
Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.
Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu.
Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.