At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu.
Kwamba idadi ipunguzwe, mfano kama chuo kilikuwa kinachukua wanafunzi 1000 wapunguze mpaka 200. Hasa kwa walimu wa sanaa.
Pia kuwe na studies kufahamu demand halisi ya walimu. Wasomeshwe wanaohitajika na ziada kidogo sio lazima kila mtu asome.
Hii itapelekea kupeleka cream kwenye taaluma ya ualimu maana kutakuwa na competion ya kuwania hizo nafasi chache.
Hili likifanyika litaleteletezea faida zifuatazo.
1. Tutapata walimu ambao walifaulu vyema mitihani yao ya nyuma. Hivyo walimu vilaza watapungua.
2. Pia kutokana na hilo taaluma ya ualimu itaenda kuheshimishwa. Na ile mentality wanaosomea ualimu ni waliofeli itapungua japo ishaanza tayari kupungua.
3. Maslahi ya walimu yatapanda. Kwa sababu walimu wengi watakuwa wenye ufahamu mkubwa hivyo kuweza kudai haki zao.
4. Pia itapunguza lundo la walimu mtaani.
Na mengine mengi ya faida yatapatikana.
Usiku mwema.