Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,881
109,188
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.

Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.

Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...

 
Mb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...
 
Kama hoja yako ni kuunga mkono hoja yake bila kuongeza mawazo/mtazamo wako na wengineo kwenye mada husika... hii inapelekea kuamini inawezekana wewe Mwanahamisi dada mkuu wa shule yetu pendwa
 
Mb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...
Usianze kukisia, kama hauna mb, tatizo ni lako sio letu. Wacha kulialia kwa hisia zako za kijinga.
 
Summarize hapa kwa maandishi, kwa mtu mwenye limited bundle siku hizi hafungui video wanaiba sana mb.

Ni watu wanaotumia free WiFi na unlimited bundle ndio ujishughurisha na video zote, binafsi sijafunguwa.
Siwezi ku "summarize". Kama hauna mbinu za kupata free wifi na hauna bundle ni tatizo lako sio langu.
 
Back
Top Bottom