Duuu kumbe mtu akifeli form four haruhusiwi kukanyaga shule tena?Katika pita pita zangu huko insta,nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.
Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
Kwa hiyo tutegemee Paula nae akirudi atakua kaiva kwenye hiyo fani aliyokwenda kusomea?Unaposema form four alifeli unamaanisha hakupata cheti kabisa?
Halafu pia ngoja nikukumbushe kitu.
Vyuo vya nje vingine wanadahili bila ku regard makaratasi yetu ya form 4 au 6.
Anaweza akawa bora katika fani atakayoisomea huko kuliko yule atakayesomea UDSM mwenye division one ya bongo.
Katika pita pita zangu huko insta,nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.
Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
AiseeAmeenda kusomea jinsi ya kufanya Surgeries.
Ova
Kuna course kama beautician, huhitaji A ya physics na Biology kujiunga.Sometimes watu wanasoma ili kutanua upeo, ndio maana kuna electrical engineers wameamua kuwa wakulima. At least anajaribu msimkatishe tamaa, mwacheni.
😂😂😂😂Kujifunza mapozi mazuri ya photoshoot