kusomea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Qassy boee

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

    Habarini za jioni wanamichezo napend kuuliza kuulizia ofisi za marefaa
  2. Mr_S

    INAUZWA Meza nzuri ya kusomea inauzwa

    Nauza meza ya kusomea/kuandikia bei chee - Temeke, Dar es salaam. Bei: 60,000/-
  3. sky soldier

    Kama huna "C" ya hesabu o-level na una ndoto za kusomea IT ni vema uende chuo ukimaliza form 4, Ukienda form 5 utakosa vigezo vya kusoma IT

    copy paste ila mawazo ya mdau nimeyakubali na nimeona niweke awareness yake humu Hivi karibuni baadhi ya vyuo vimeanza kukaza viwango vya ufaulu ili kuwachuja zaidi wanafunzi wanaotoka form 6 kuingia degree, katika moja ya vigezo walivyokaza ni kuhitaji aufaulu katika masomo ya hesabu ya form 6...
  4. May Day

    Wenye Magazeti anzisheni vyumba vya kusomea Mitaani

    Ni dhahiri kabisa kuwa kuja kwa teknolojia hakujaiacha salama sekta ya uchapishaji wa Magazeti, maana kwa sasa ni rahisi kwa mtu kupata taarifa papohapo tofauti na miaka ya nyuma. Pamoja na changamoto hii yote lakini bado wapo watu wanaoamini na wanapenda kusoma Magazeti. Kama si Mgeni basi...
  5. FaizaFoxy

    Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

    Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa. Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
  6. E

    Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

    Habarini za leo, Naomba kuuliza ndugu zangu. Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine. Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla. Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  8. At Calvary

    Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

    Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu. Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
  9. Chiwaso

    Kwa matokeo haya huyu asomee nini?

    Za mchana wakuu, Kuna dogo kaibuka na haya matokeo M 25 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F' Nishaurini, Anapaswa kusomea nini na wapi? ''Together we always stand''
  10. sky soldier

    Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    π™π™Šπ™π™ˆ 4 π™ˆπ™’π™€π™‰π™”π™€ π™‰π˜Ώπ™Šπ™π™Š π™•π˜Ό π™†π™π™Žπ™Šπ™ˆπ™€π˜Ό 𝙄𝙏 π™π™Žπ™„π™‹π™Šπ™π™€π™•π™€ π™ˆπ˜Ώπ˜Ό π™’π˜Όπ™†π™Š π™†π™’π™€π™‰π˜Ώπ˜Ό π™π™Šπ™π™ˆ 6, π™‰π™„π™ˆπ™€π™†π™π˜Ύπ™ƒπ™Šπ™π™€π˜Ό π™π˜Όπ™ˆπ˜Όπ™‰π™„ π™‰π™•π™„π™ˆπ˜Ό π™ƒπ˜Όπ™‹π˜Ό Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  11. kyagata

    Paula kaenda kusomea kitu gani huko Uturuki?

    Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo. Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
  12. FRANCIS DA DON

    Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  13. Banjuka

    Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

    Habari za wakati huu wanajamii. Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake. 1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre? 2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
Back
Top Bottom