Kwa matokeo haya huyu asomee nini?

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,747
Za mchana wakuu,

Kuna dogo kaibuka na haya matokeo

M​
25​
III​
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'​

Nishaurini,

Anapaswa kusomea nini na wapi?

''Together we always stand''
 
Aende 5-6 akasomee hkl then chuo kikuuu akapige Sheria awe nguli aje amtoe MBOWE
Mkuu huyo ni ngumu kupiga advance. No combination balanced. Nijuavyo mimi ni kuwa ili mtu asajiliwe kufanya mtihani wa form six anatakiwa kuwa na C 3 katika mtihani wa kidato cha nne, Sifa ambayo anayo

Lakini pia katika mchepuo anaosoma inatakiwa awe na Credit pass 'C' mbili. Hakuna combination aliyopata C mbili.

Combination pekee ambayo mtu anaeza soma kwa C moja ni EGM, nayo kwa kupata C moja ya Geography na D ya math or vice versa
 
Za mchana wakuu,

Kuna dogo kaibuka na haya matokeo

M​
25​
III​
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'​

Nishaurini,

Anapaswa kusomea nini na wapi?

''Together we always stand''

Peleka VETA asome masonery
 
Za mchana wakuu,

Kuna dogo kaibuka na haya matokeo

M​
25​
III​
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'​

Nishaurini,

Anapaswa kusomea nini na wapi?

actical based skills in IT: tzcodeacademy.com

Za mchana wakuu,

Kuna dogo kaibuka na haya matokeo

M​
25​
III​
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'​

Nishaurini,

Anapaswa kusomea nini na wapi?

''Together we always stand''
Practical based IT : tzcodeacademy.com
 
Mpeleke PASIANSI WILDLIFE TRAINING INSTITUTE Mwanza akasome Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement ada ni almost 3.1M kila kitu. Utakuja kunishikuru baadae.
 
Aende chuo cha utumishi wa Umma akasomee hata masjala kwa komputer wanahitajika siku hizi
 
Mpeleke PASIANSI WILDLIFE TRAINING INSTITUTE Mwanza akasome Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement ada ni almost 3.1M kila kitu. Utakuja kunishikuru baadae.
Asante kwa maelekezo.
naomba contact zao
 
Za mchana wakuu,

Kuna dogo kaibuka na haya matokeo

M​
25​
III​
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'​

Nishaurini,

Anapaswa kusomea nini na wapi?

''Together we always stand''
Asomee udereva aombe ajira fasta. Hali tunakoelekea sio poa! Degree atasoma akiwa kazini
 
Asomee udereva aombe ajira fasta. Hali tunakoelekea sio poa! Degree atasoma akiwa kazini
Hii pia iko powa. Nafikiri kunako mwezi Septemba, 2022 ndo wanaingia, so in bteween anaweza anza somea udereva NIT.

Naifanyia ufuatiliaji

Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom