kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

    Nimefuatilia sana tunapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni; 1) Tupunguzieni ushuru wa Tende 2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Emmerson Mnangagwa atangazwa kushinda tena Urais Zimbabwe

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza kuwa Kiongozi huyo aliyeingia Madarakana mara ya kwanza mwaka 2017 kwa kumpindua Robert Mugabe, ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura zilizopigwa. (ZEC) imesema mpinzani mkuu wa Mnangagwa, Nelson Chamisa, anayeongoza chama cha Citizens's...
  3. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zina uhakika wa kushinda mechi 20+ kati ya 30, je kuna mbinu ya kuweza kupiga pesa kwenye beting?

    Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga pesa? Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania anayeweza kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim

    Habari wana jamvi, Nimetafakari mambo mengi kisiasa, mwisho nimeridhika kuwa hakuna Rais wa Tanzania awezaye kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim. Nimefikiria mambo anayo fanya Rais Samia, utadhani ameshahakikishiwa kwamba 2025 hatoboi. Anauza rasilimali za Nchi kwa bei chee, lakini za chini chini ni...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda lalamiko dhidi ya Juma Choki, Loren Japhet apeleka tena malalamiko dhidi ya Nasibu Ramadhan.

    Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi. Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare. Loren Japhet alipeleka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, kama mkataba una mapunfufu ya aina hii, wakitupeleke mahakamani , wanaweza vipi kushinda kesi dhidi yetu?

    Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili. Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM yampinga Balozi Karume/ACT-Wazalendo. Yasema Upinzani haujawahi kushinda Zanzibar

    Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema madai ya Balozi Ali Karume kuhusu uchaguzi mkuu akisema CCM haikushinda si mageni kwani aliyekuwa Makamo Mwenyekiti CUF Mussa Haji Kombo amewahi kutamka mgombea urais wa CUF hayati Maalim Seif Sharif Hamad hakuwahi kushinda urais . Hadi leo hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ally Karume kwamba Dkt. Mwinyi na CCM hawajahi kushinda uchaguzi Zanzibari itajibiwa na akina Lusinde na Musukuma?

    Mtoto wa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibari amelipuka na madai kuwa Dr Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibari na CCM hawajawahi kushinda uchaguzi wowote Zanzibari tangu uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Tanzania. Ally Karume ni mtu mkubwa kwa siasa za Zanzibar na Tanazania kwa ujumla na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imekata tamaa; sasa inadai mpaka ipewe ndege za kijeshi F-16 ndio iweze kushinda vita yake na Urusi

    Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Yanga kushinda 1-0 dhidi ya USM Alger Dar es Salaam

    Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano. Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
  11. D

    JamiiForums Tanzania Unajua mbinu za kushinda Zeppelin?

    😂😂Oyaa wadau eeenh kuna haka kamchezo kanaitwa Zeppelin kutoka Sokabet kataniua kwa presha. Nani anajua mbinu za kushinda kirahisi?
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo. Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
  13. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

    Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti. Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini Khartoum wabaki ndani na wasichungulie madirishani kwani wameanza kutumia vifaru kushambulia kutoka...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kukukutana masaa mawili na kushinda pamoja ni hadi jumapili ni ngumu sana kujuana, hii ndio sababu ndoa zinavurugika mkianza kukaa pamoja

    Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya mawasiliano kama simu. Kuna mengi sana ambayo mtu ulienae huwezi kuyajua atafeki kwa muda mchache...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

    Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa. 2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Yanga tusichukulie poa ubingwa wa Ligi, Sioni mnyama akiachia point yoyote kwa mechi 4 zilizobaki, hakuna namna kushinda mechi 3 zijazo

    Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli tusilete masikhara hata michezo ya nje ifanyike poa tu, kinachokumbukwa ni michezo ya nje au ubingwa ...
  18. Aziz Ki Mayele

    JamiiForums Tanzania Je, Kushinda kwa Yanga katika kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal kuna maana kuelekea dabi?

    Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi kunako club hii ya jangwani Sasa mjadala huu umeibuka tena kuelekea mechi ya dabi baina ya Simba na...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Utabiri: 2025 Upinzani utachomoza na kushinda viti vingi kupitia agenda ya Hayati Magufuli

    Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi. Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu hakulitendea haki ni Haki za Binadamu. Na eneo hilo alikuwa mkali kweli kweli kuanzia kwa watu wake...
  20. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Njia za kushinda soko la ushindani kibiashara

    Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na: 1) Brand name hii...
Back
Top Bottom