kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  2. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu acheni kutulia hela zetu, hivi kweli mtu anaweza kushinda bahati nasibu kwa kujibu haya maswali?

    Eti wanakuuliza Ruby ni a)Mwanamuziki b) Mkulima Huu ni utapeli wa kula vocha za watu.
  3. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

    Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Equity tawi la DRC linanawiri na lipo mbioni kushinda Nairobi

    Afrika pazuri... Equity Group closed last year as Kenya’s most profitable lender and has maintained this run in the first quarter of this year with a 64 percent growth in net profit to Sh8.7 billion. The Business Daily spoke to its CEO James Mwangi about the place of subsidiaries in growth...
  5. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Naipa nafasi England kushinda Euro2020 dhidi ya Italia

    Kati ya Italia na Uingereza nikiambiwa nichague nani atatwaa ndoo ya euro moja kwa moja ni uingereza nampa nafasi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heko CHADEMA kushinda kishawishi kilichomshinda Yuda Iskariote

    Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha...
  7. Black Book

    JamiiForums Tanzania Unamfahamu yeyote aliyewahi kushinda michezo ya bahati nasibu?

    Wakuu... Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja. Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu...
Back
Top Bottom