kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassani amewahi kugombea katika nafasi ya kisiasa akafanikiwa kushinda?

    Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi atushirikishe. Kama ajawahi kushinda, Je wapo Marais wengine walioingia madarakani kidemokrasia ambao hakuna...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa na nafasi ya kushinda tuzo la amani ya Nobel, lakini kesi dhidi ya Mbowe imemuharibia, bado ana nafasi, ajirekebishe

    Shalom from Jerusalem, Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu sheria kwa ustawi wa nchi lakini amejiharibia kuendelea kukomaa na kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe...
  5. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

    Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu. Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Marekani, Trump uenda akagombea na kushinda tena

    Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana. Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa. Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huruma za kisiasa kupitia mitandao ya kijamii haziwezi kusaidia Mbowe na wenzake kushinda kesi, kesi ni ushahidi

    Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe. Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha. Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunifu kutoka Kenya na Uganda waiwakilisha EAC kwa kushinda tuzo kule Glasgow, Scotland.

    Kama kawa akili kubwa.... Four East African climate innovators from Kenya, Uganda and the Democratic Republic of Congo have won the prestigious 2021 Ashden Awards at the UN climate summit COP26 in Glasgow, Scotland. The Ashden Awards, organised by a London-based charity that works in...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.Na hii ndio list ya waafrika waliowahi shinda Nobel Prize

    Habari wadau..! Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.
  11. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

    Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi. Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kushinda michezo ya bahati nasibu ya Mitandao ya simu

    Niaje ni vipi! Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi. Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda. wataalam wa mambo tusaidiane. Chief-Mkwawa
  13. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    Nakwambia ukweli, Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana. Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama...
  14. nyboma

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako. Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini. Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
  15. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ushuru wa makampuni kwa kiasi kikubwa kushinda target yake

    Makampuni za Kenya zinalipa ushuru kwa fujo sana hadi KRA wanakusanya ushuru mwingi kutoka kwa makampuni kupita makadirio ya awali. Hii ina maana kwamba Kenya ina makampuni mengi na pia yanatengeneza profit kibao na ndio maana zinalipa ushuru kwa fujo. KRA imekusanya ksh 330 billion kutoka kwa...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Hii kesi ni kesi ambayo wanataka kujadili mambo madogo tu ambayo hayana umuhimu wowote kwa taifa. Ikumbukwe alikuwepo Magufuli ambaye alikuwa mpole sana kwa raia wanyonge lakini mkali sana kwa mafisadi, mkali sana kwa wapinzani. Tumeona mambo ya ovyo yaliyokuwa yanawafika wapinzani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

    Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni. Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote...
  19. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  20. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

    Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea. Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais. Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so...
Back
Top Bottom