kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

    Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022 Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba kushinda dhidi ya Vipers?

    Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kushinda mechi kwa mngoni, mmakonde na mhaya. Mara zote naambulia droo...

    Hello mambo aje? Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe. Sio style moja yaani style...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Eti unabeti! Unabeti kushinda Wanyamwezi wewe?

    Vijana na watu wazima walishirikiana katika mchezo wa kamari (kwesa nsimbi). Mchezo huu pia ulitegemea ruhusa ya mtemi, maana mara kwa mara yaliweza kutokea matata ya kuuana wao kwa wao. Kwa kuwa fedha haikuwapo wakati huo walitumia majembe na kauri, pembe za tembo na watu, yaani watumwa. Kila...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mastaa 10 ambao hawajahi kushinda Tuzo ya GRAMMY licha ya ukubwa wao

    Licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo ya GRAMMY mara 10, Nicki Minaj hajawahi kupata tuzo hiyo, Snoop Dogg ameteuliwa mara 20, Katy Perry (13), Jennifer Lopez (2), Busta Rhymes (12) na Miley Cyrus (2). Wengine ambao tayari wameshafariki ni pamoja na Tupac, aliwahi kuteuliwa mara 6 na hakushinda, Bob...
  7. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuja kushinda tuzo ya Kiongozi Bora ya Mo Ibrahim

    Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika haijawahi kushinda World Cup

    Hii article nimeitoa online BBC; ni majibu ya mwandishi mmoja ikijaribu kujibu kwanini Afrika haijawahi kuchukua hili Kombe... In November, Cameroon football federation president Samuel Eto'o Fils declared that he was expecting Cameroon to beat Morocco in an all-African final. He was...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo. Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

    Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote. Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Asalam aleykum! Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii tunaiitaje timu kushinda lakini mashabiki wanakosa furaha na kuwa kama wamefiwa hivi

    Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

    Habari wakuu. Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu. Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA. Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu. 1. Peter Banda. 2. Mohamed Ottara 3. Dejan aliyeondoka. 4. Okwa Nelson...
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Bujibuji usijaribu kununua vita isiyokuhusu, utapata shida sana kushinda.

    Bro huu ni ujumbe kwako, malaika wa mtu ni mtu. Malaika walisha acha kushuka zama za bikira Maria, Yesu alipoacha msaidizi, wasaidizi ni sisi wenyewe binadamu. Nimeona kuna uzi mmoja umesema unataka kumvusha mtu mmoja, Broo, ngoja nikupe darasa ambalo hulijui. Umaskini ni laana, laana hii...
  18. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Licha ya fitna na kushinda ugenini, Yanga SC kuwasili nchini leo

    Jana wote tumeshuhudia Yanga wakishinda bao 4-0 ugenini licha ya kufanyiwa vitimbi kibaooo. Leo mabingwa hao watarejea nyumbani saa 3 usiku. Nyote mnaombwa kwenda kuwapokea airport. Hizo ndo dozi za kutoa ugenini siyo eti kushinda 2-0
  20. N

    JamiiForums Tanzania Chadema imekataa kuweka wagombea EALA lakini usishangae wakawepo na kushinda

    Kama "signature" inayosemekana ni ya mnyika ilifanikisha kumtoa mwanadada aliyekaa jela siku 120 kesho yake akaapishwa kwenye gereji na wenzake 18 kuwa wabunge hii itashindikanaje Covid 19 wanatamba wana kebehi majaji wanashikwa na kigugumizi wafate sheria au maagizo toka juu kwenye jikesi lao...
Back
Top Bottom