Emmerson Mnangagwa atangazwa kushinda tena Urais Zimbabwe

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1693108234332.png

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza kuwa Kiongozi huyo aliyeingia Madarakana mara ya kwanza mwaka 2017 kwa kumpindua Robert Mugabe, ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura zilizopigwa.

(ZEC) imesema mpinzani mkuu wa Mnangagwa, Nelson Chamisa, anayeongoza chama cha Citizens's Coalition for Change (CCC), alipata 44% ya kura za Urais, hata hivyo Chamisa amekataa kutambua Matokeo hayo.

Hatua hii inakuja ikiwa ni muda mfupi tangu Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU OEM) kutangaza kuwa Uchaguzi haukuwa Huru na Haki ikiwemo kukamatwa kwa baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi huo.
============

Zimbabwe's elections commission said late on Saturday that incumbent Emmerson Mnangagwa had won this week's presidential election with roughly 53% of the vote, but the opposition and analysts immediately questioned the result.

Mnangagwa, who took over from longtime leader Robert Mugabe after a 2017 army coup, was widely expected to secure re-election for a second term as analysts said the contest was heavily skewed in favour of the ZANU-PF ruling party, which has been in power for more than four decades.

The Zimbabwe Electoral Commission (ZEC) said Mnangagwa's main challenger, Nelson Chamisa, who leads the opposition Citizens' Coalition for Change (CCC) party, secured 44% of the presidential vote.

ZANU-PF supporters started singing and cheering at the results centre after the elections commission said Mnangagwa had won.

A CCC spokesperson said in a post on X, formerly Twitter, that the party rejected "any result hastily assembled without proper verification".

Mnangagwa also narrowly defeated Chamisa at the last presidential election in 2018. The opposition alleges that election was rigged but the constitutional court upheld the result.

While the run-up to the election has been largely free from violence, the police routinely ban opposition rallies and arrest opposition supporters using Zimbabwe's tough public order laws.

ZANU-PF denies it has an unfair advantage or seeks to influence the outcome of elections through rigging.

The head of the European Union's observer mission on Friday said this week's vote took place in a “Climate of fear” Southern African regional bloc SADC's mission noted issues including voting delays, the banning of rallies and biased state media coverage.

Nicole Beardsworth, a politics lecturer at the University of the Witwatersrand, said she thought the late Saturday announcement was probably a response to the critique by SADC and other election observers.

"We all have a lot of questions about the speed with which ZEC is announcing presidential results," she said.

Voting in this week's presidential and parliamentary elections was meant to be wrapped up within one day on Wednesday, but it was extended into Thursday in some wards after the late distribution of ballot papers.

Reporting by Nyasha Chingono and Nelson Banya; Additional reporting by Carien du Plessis and Bhargav Acharya in Johannesburg; Editing by Alexander Winning and Daniel Wallis

REUTERS
 
Dah huyu mzee amenikumbusha documentary ya Aljazeera ya MAFIA GOLD... iko youtube angalien viongoz wa Africa wanavyojua kutafuna nchi.. aljazeraa walienda Anda kava wakavujisha biashara ya kutakatisha fedha na madini ya nchi yanavyotoroshwa

Wamo hao mnaowaita wachungaj wakubwa africa na viongoz wa zaman na walio madarakan wa Africa

Kuanzia east west had south africa
 
Haya tena Jecha wa huko kesha fanya yake:

Ndiyo hivyo tena Emerson Munangagwa, ZANU PF miaka 80 kamwangusha kwa Kishindo Advocate Nelson Chamisa wa CCC wa miaka 45. Kwamba ni 53% kwa 44% hivyo imekwisha hiyo.

Sasa tuwasubiri kina Mboye wa huko kutuletea zile ngonjera zao pendwa za kuibiwa kura.

Bure kabisa!

SI Uhaini kuzuia uchaguzi kwa namna zote ziwezekanazo Ili ukapate ukuanyika kwa haki.

"Hawa ndugu zetu wenye uchu mno wa ubunge, wanaweza kuwa ndiyo maadui zetu kuliko hata hawa chawa wa mama."
 
Haya tena Jecha wa huko kesha fanya yake:

View attachment 2730123

Ndiyo hivyo tena Emerson Munangagwa, ZANU PF miaka 80 kamwangusha kwa Kishindo Advocate Nelson Chamisa wa CCC wa miaka 45. Kwamba ni 52% kwa 44% hivyo imekwisha hiyo.

mabwabwa ya warabu 2025 mtakimbilia kqa mabwana zenu dubai mkibaki tanganyika mtaelewa vizur.
 
Haya tena Jecha wa huko kesha fanya yake:

View attachment 2730123

Ndiyo hivyo tena Emerson Munangagwa, ZANU PF miaka 80 kamwangusha kwa Kishindo Advocate Nelson Chamisa wa CCC wa miaka 45. Kwamba ni 52% kwa 44% hivyo imekwisha hiyo.

Sasa tuwasubiri kina Mboye wa huko kutuletea zile ngonjera zao pendwa za kuibiwa kura.

Bure kabisa!

SI Uhaini kuzuia uchaguzi kwa namna zote ziwezekanazo Ili ukapate ukuanyika kwa haki.

"Hawa ndugu zetu wenye uchu mno wa ubunge, wanaweza kuwa ndiyo maadui zetu kuliko hata hawa chawa wa mama."
Mkuu toa muongozo nini kifanyike ili kuzuia huo uhuni.
 
Mkuu toa muongozo nini kifanyike ili kuzuia huo uhuni.

Mkuu kama tunavyokomaa na bandari zetu. Tukomae nao:

"Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi mkuu 2024/25"

Fronts zote tokea mahakamani, TEC, KKKT, BAKWATA, makanisani, misikitini, majukwaani nk.

Penye nia pana njia.

Hawa wetu wenye uchu wa ubunge tusiwaonee haya.

Hawana tofauti na kina Bulaya hao.
 
Mkuu hizo taasisi ulizotaja kuna hata moja inayokomaa na suala la katiba mpya? Hizo taasisi zote zinajadili suala la katiba mpya kwa kupewa muongozo na serikali ambayo haitaki katiba mpya kwa vitendo.
 
Hizo taasisi huja automatic zikiuona ukomavu wetu. Bila kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wengine hizo taasisi zingetokea kwenye bandari?
 
Hizo taasisi huja automatic zikiuona ukomavu wetu. Bila kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wengine hizo taasisi zingetokea kwenye bandari?
Hizo taasisi zenyewe huwa hazikomai zinasubiri ukomavu wa wengine tu, huoni hayo ni mambo ya bendera fuata upepo?
 
Back
Top Bottom