kusafisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUSAFISHA AKILI

    . Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho. Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake. Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu yasafisha Mto Ngerengere kuondoa matope na uchafu

    Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex

    Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25. Soma, Pia: Gamondi hana...
  7. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kusafisha maji

    Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya kuyadafisha?kuna dawa ambayo nikiweka itayasafisha maji na yawe salama kwa kunywa?
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Kampuni ya Tembo Nickel Yafanikiwa Kusafisha na Kuzalisha Madini ya Nikeli, Shaba na Kobati Kwenye Kiwanda Kilichopo Kabanga, Ngara.

    WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia...
  9. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Natafuta Caterpillar la kusafisha shamba jipya (pori)

    Wakuu natumai mu-wazima wa afya, Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar). Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana serikali kushidwa kusafisha maji!

    Yaani inasikitusha mpaka leo hatuwezi kupata maji safi na salama. Lakini serikali kila siku kujigamba!. Leo maji ya bomba ni kama tope!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine zakwamisha shughuli kwenye kinu cha kusafisha mafuta nchini Urusi

    Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema Alhamisi, na kuongeza kuwa hakukuwa na majeruhi. Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege 13 zisizo na...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusafisha neti ya hema

    Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi? NB: zikishawekwa hazirudi kama zilivyokuwa (zinakuwa round zikiwa mpya, then zinafyatuka kuwa hema ila kurudishia kuwa round baada ya kuwa hema ni ngumu)
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nitumie kimiminika gani kusafisha saketi ya kifaa cha umeme

    Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
  14. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Natafuta Products za kusafisha makochi

    Wadau habari za jioni. Poleni na mvua. Tafadhali naomba mwenye idea ya products za kusafisha makochi hasa haya ya fabric ili kuondoa kiharufu na jasho n.k ambayo ukisasafisha Kochi linawahi kauka. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu.
  15. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kusafisha Mwakala wa Ajira kukomesha unyonyaji unaofanywa kwa wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi

    Shadrack Mwadime Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi, amesema Katibu wa Wizara ya Kazi Shadrack Mwadime. Mwadime amesema...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata mkihairisha usafi uko palepale siku hiyo tuungane kusafisha jiji letu

    Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi usafi uko pale pale na tunawakaribisha kuwa pamoja usafi n afya Mungu ibariki Tanzania na watu wake
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na DAWASA Jijini Dar

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam. Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama na Bashungwa Waongoza Misheni ya Kusafisha Mji wa Katesh

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea. Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
Back
Top Bottom