Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi.

Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo wanachofanya kwa sasa ni usafi wa mazingira na kuondo mazingira yote yanayochangia wadudu hao kuzaliana kwa wingi



Mbu1.jpg

Mbu.jpg

Hoja ya Mdau - Kuna Mbu wengi sana katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea
 
Hao wananchi wa nachingwea hawaoni hospitali yao imejaa majani wafanye usafi? Huyo afisa kesho akihamishwa hapo nani atafanya usafi pumbavu hao zao wananchi
 
Back
Top Bottom