kusafisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chokaa, gypsum powder, wallputy na white cement kwa ajili ya kusafisha ukuta

    Miaka ya nyuma kusafisha ukuta ( skim) watu walitumia chokaa , wapo wanaoendelea kutumia chokaa japo wanaonekana wamepitwa na wakati,🎚️baada ya chokaa zimekuja materia nyingi nyingi. Nimetumia gypsum powder, nimetumia na wallputy , sijatumia white cement na chokaa naiona kwenye nyumba za home...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kusafisha sufuria lililoungua sana wakati wa kupika?

    Habari wana jukwaa hili Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa inakuwa nyeusi, kusafisha kirahisi ili iwe rahisi kufaya sufuria zetu ziwe na mng'ao wa awali. Wakati...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Tumbi kuanza kusafisha damu

    Wakati Serikali ikiweka mkazo katika huduma za kusafisha damu (dialysis), hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani, inatarajiwa kuanza kutoa huduma hiyo Desemba 15, 2022. Hatua hiyo itapunguza adha ya rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dialysis katika hospitali hiyo ambapo kwa wiki watu...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  7. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ajira hakuna lakini kazi zipo

    Usitengemee Bahati
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  11. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

    Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusafisha Petroli Kigamboni

    Hivi tuna mkakati wowote wa kufufua kiwanda cha kusafisha mafuta Kigamboni au Pengine kujenga kingine Kipya kule bandari yaTanga Ili kiende sambamba na Ukamilishaji wa Mradi mkubwa wa Bomba la mafuta ghafi kutokea Uganda Nauliza tu isijekuwa tuna subiri mafuta yapite hapa kwetu yaende Arabuni...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Je, juhudi za kuondoa plastiki isiyooza zitafanikiwa na kusafisha kabisa taka za plastiki duniani?

    Pili Mwinyi Mkutano wa tano wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira (UNEA-5), uliomalizika katika makao makuu ya UNEP jijini Nairobi, umeshuhudia kupitishwa kwa agizo la kihistoria linalotaka kuanzishwa kwa mkataba wa kimataifa wa plastiki. Kwa mujibu wa agizo hilo, mkataba huo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kusafisha jiji la Dar es Salaam

    Poleni wahanga wa kampeni hii ya kuliweka "JIJI" katika hali ya "usafi". Tumeshuhudia masoko yaliyopo katikati ya jiji letu pendwa yakiondoka moja baada ya moja ..Tulianza na Soko la kariakoo🔥 Soko la mitumba karume 🔥 Wats next? Ilala kwa wauza mitumba ? Poleni wahanga hususani wale...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Pata huduma ya Kusafisha tumbo. Kile unachokula ndicho kinachokuja kuwa sumu mwilini kwako !

    Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp. Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako! Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana...
  17. Traveller_mona

    JamiiForums Tanzania Njia ya asili ya kusafisha sinki

    Wakuu heshima kwenu? Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
  18. emmarki

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kwenye kusafisha nyota na mafanikio

    wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
  19. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rwanda yaanzisha Gold Refinery - Hope Makinikia hayataenda nje ya Africa tena

    Rwanda gets first gold refinery The refinery has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to its minerals before exporting them. By Julius Bizimungu Published : June 19, 2019 | Updated : June 19, 2019 Rwanda has acquired its...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

    Wanabodi, kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa nawaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huandikwa kwa swali, na kukuachia wewe msomaji uhuru wa kuchangia na kutoa jibu lolote. Makala hizi zitakuwa zinatoka kwenye Gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Makala...
Back
Top Bottom