Msaada jinsi ya kusafisha neti ya hema

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
814
1,712
Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi?

NB: zikishawekwa hazirudi kama zilivyokuwa (zinakuwa round zikiwa mpya, then zinafyatuka kuwa hema ila kurudishia kuwa round baada ya kuwa hema ni ngumu)

images - 2024-05-11T094243.930.jpeg
 
Hapo kuna angle zake unazifungua then inabaki neti as neti , unaenda unafua simple
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom