kusababisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  2. JamiiCheck

    Matumizi ya picha yasiyo sahihi huweza kusababisha upotoshaji

    Kuambatisha picha katika habari yoyote ni muhimu katika kuongeza uelewa na kufafanua tukio au taarifa fulani. Ili kutumia picha katika kutoa taarifa kuhusu jambo fulani, unapaswa kuzingatia uhalali wa hiyo picha, uwiano wa picha hiyo na tukio unalokusudia kulitolea taarifa au kulifafanua...
  3. JamiiCheck

    Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  4. BARD AI

    Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  5. R

    Matumizi ya nepi za kutupa (diapers) yatajwa kusababisha UTI kwa watoto

    Matumizi ya muda mrefu ya nepi za kutumia na kutupa za watoto maarufu pempasi yamekuwa yakisababisha athari kwa kundi hilo huku walio wengi wakipata magonjwa ya ngozi na mfumo wa mkojo yaani UTI. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Oktoba 23, 2023 na Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi...
  6. Chachu Ombara

    Mvua kubwa yanyesha Bukoba na kusababisha hasara kubwa

    Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali. Moja ya nyumba ya ibada iliyopata madhara hayo ni...
  7. BARD AI

    Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  8. BARD AI

    Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

    Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake. Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba...
  9. Suley2019

    SI KWELI Kukata kiuno ni hatari, huweza kusababisha ukapata ganzi mara kwa mara

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikieleza kwamba kukata mauno ni hatari, kunaweza kuwa kisababishi cha ganzi kwa mwilini. Tazama Video hapa chini: Je, kuna ukweli hapa? ---
  10. B

    Tabora: Daktari feki jela miaka 15 kwa kusababisha kifo

    Muuguzi Amos Masibuka (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kujifanya daktari kwa kumfanyia upasuaji Lukwaja Selemani (78) na kumsababishia kifo. Licha ya kwamba alikuwa hana sifa za kuwa daktari, muuguzi huyo maarufu kwa jina la Dk Amos, alikuwa akitoa huduma...
  11. benzemah

    Dereva wa gari lililogonga na kusababisha vifo vya watu sita Mwanza akamatwa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Oswald Kaijage (39) mkazi wa Buswelu kwa tuhuma za kusababisha ajali katika eneo la Kiseke mkoani humo na kupelekea vifo vya watu 6 na wengine 16 kujeruhiwa Ajali hiyo ilitokea siku Jumamosi nyakati za asubuhi katika eneo la Kiseke Wilayani Ilemela...
  12. BARD AI

    Mganga wa kienyeji akamatwa akidaiwa kusababisha kifo cha Mtoto

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
  13. Sky Eclat

    Binadamu tunavyojenga jela zetu na kusababisha vifo vyetu

    Hofu imetutawala kiasi cha kuweka nondo madirishani, ili wezi na wahalifu wasifikie usalama wako na mali zako. Nondo hizi huwa kero wakati hatari ikiwa ndani ya nyumba. Mhalifu anaweza kuingilia mlangoni ikawa shida kwako kutoka. Moto unaweza kuleta madhara mengine, moto wa hitilafu wa nyaya...
  14. Roving Journalist

    Barabara ya Madale haifanyiwi usafi, imejaa michanga na kusababisha utelezi

    Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua. Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala...
  15. Nshuti divine muheto

    Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu...
  16. Twilumba

    Maafisa utumishi ambao ni approvers wa HCMIS wasiendelee kusababisha hoja hii ya ukaguzi, imekuwa zaidi ya kero

    Wakuu, Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini; Matumizi...
  17. IamBrianLeeSnr

    New York: Mvua ya mfululizo kusababisha mafuriko makubwa huko Bronx

    Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx. Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
  18. M

    Hawa Simba wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu kuchelewa

    Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije kumlaza njaa Mwl. Mpwayungu Village
  19. JanguKamaJangu

    Kimbunga Freddy chaendelea kusababisha athari Msumbiji

    Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari kusitisha kutoa huduma huku zaidi ya watu 171,000 wakiathiriwa. Picha za satellite zinaonesha mvua...
  20. BARD AI

    Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
Back
Top Bottom