Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.

Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba wananchi wenye hasira wamefikia hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa matukio kadhaa ya watoto kupotea.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Igoma ''A,'' Kata ya Isanga, Damian Mwasanguti, amesema kuwa mtu huyo aliyeuawa kwa kuchomwa moto, sio mkazi wa eneo hilo, huku akilaani kitendo cha ukatili kilichofanywa, dhidi ya mtoto.

“Kama kiongozi, baada ya kupata taarifa, nililazimika kufika eneo la tukio na kumkimbiza mtoto huyo hospitali...mtuhumiwa alikuwa akishambuliwa na wananchi lakini baadaye tukapigiwa simu kuwa amepoteza maisha baada ya kuchomwa moto,” amesema.

Baba wa mtoto aliyefariki, Benjamin Mwashilindi, ameiambia Mwananchi Digital kuwa yeye anarejea nyumbani kwake toka safari kikazi Makambako, mkoani Njombe, alipigiwa simu kuwa kuna tukio la mwanaye kulawitiwa na kupoteza maisha.

“Nilikuwa nimefika eneo la mlima nyoka nililazimika kuchukua usafiri wa pikipiki ili kuwahi ambapo nilipofika nyumbani nilikuta eneo la tukio kukiwa na mabegi na ndipo nikampigia simu mwenyekiti kujua wako wapi kwa muda huo,” amesema.

Kwa upande wake mjumbe wa nyumba kumi, Hadija Binti Masudi amesema akiwa anatoka kwenye shughuli zake za kuuza nguo, alisikia kelele za wananchi wakisema mtoto analawitiwa, ndipo alipotoka na kukuta akiwa hana nguo.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa mashuhuda ambaye pia ni jirani na jengo (pagala) ambalo kitendo hicho kinaidaiwa kufanyika, Shadrack Isaya, amesema alipopita katika eneo hilo alihisi harufu mbaya.

“Lakini nilipojaribu kusogea nikaona kuna njemba amevua suruali na nilitafuta upenyo zaidi kuona kulikoni, nikagundua chini yake kulikuwa na kama mtoto mdogo,” amesema na kuongeza;

“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,” amesema.

Amesema kuwa baada ya kuona anaelemewa alitoa kisu na kumtishia huku akimueleza atakuja kufa kizembe ndipo wananchi walipojitokeza na kuanza kumshambulia kwa kipigo.

Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana, hata hivyo juhudi za kumtafuta kamanda huyo bado zinaendelea.

MWANANCHI
 
“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,”
Aseee inamaana pale Mafiati hapajui au alifanya makusudi
 
Aaaah, afe tuuu,
Jitu kama hilo haina haja ya masuala ya haki sijui nini,
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.

Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba wananchi wenye hasira wamefikia hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa matukio kadhaa ya watoto kupotea.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Igoma ''A,'' Kata ya Isanga, Damian Mwasanguti, amesema kuwa mtu huyo aliyeuawa kwa kuchomwa moto, sio mkazi wa eneo hilo, huku akilahani kitendo cha ukatili kilichofanywa, dhidi ya mtoto.

“Kama kiongozi, baada ya kupata taarifa, nililazimika kufika eneo la tukio na kumkimbiza mtoto huyo hospitali...mtuhumiwa alikuwa akishambuliwa na wananchi lakini baadaye tukapigiwa simu kuwa amepoteza maisha baada ya kuchomwa moto,” amesema.

Baba wa mtoto aliyefariki, Benjamin Mwashilindi, ameiambia Mwananchi Digital kuwa yeye anarejea nyumbani kwake toka safari kikazi Makambako, mkoani Njombe, alipigiwa simu kuwa kuna tukio la mwanaye kulawitiwa na kupoteza maisha.

“Nilikuwa nimefika eneo la mlima nyoka nililazimika kuchukua usafiri wa pikipiki ili kuwahi ambapo nilipofika nyumbani nilikuta eneo la tukio kukiwa na mabegi na ndipo nikampigia simu mwenyekiti kujua wako wapi kwa muda huo,” amesema.

Kwa upande wake mjumbe wa nyumba kumi, Hadija Binti Masudi amesema akiwa anatoka kwenye shughuli zake za kuuza nguo, alisikia kelele za wananchi wakisema mtoto analawitiwa, ndipo alipotoka na kukuta akiwa hana nguo.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa mashuhuda ambaye pia ni jirani na jengo (pagala) ambalo kitendo hicho kinaidaiwa kufanyika, Shadrack Isaya, amesema alipopita katika eneo hilo alihisi harufu mbaya.

“Lakini nilipojaribu kusogea nikaona kuna njemba amevua suruali na nilitafuta upenyo zaidi kuona kulikoni, nikagundua chini yake kulikuwa na kama mtoto mdogo,” amesema na kuongeza;

“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,” amesema.

Amesema kuwa baada ya kuona anaelemewa alitoa kisu na kumtishia huku akimueleza atakuja kufa kizembe ndipo wananchi walipojitokeza na kuanza kumshambulia kwa kipigo.

Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana, hata hivyo juhudi za kumtafuta kamanda huyo bado zinaendelea.

MWANANCHI
Aisee, huyo Mshenzi hawajamfanya inavyostahiki.
Inatakiwa afufuliwe ili auawe vizuri...shenzi kabisa
 
Lakini kila siku wako hapa kuanzisha thread za kuwatuhumu wanawake.
Kwa siku huwezi kosa mada zaidi ya 1 za kuwalaumu wanawake ila sasa ukija kwenye uhalisia they're worse mtoto wa 5yrs kweli???
Nakwambia hata kwenye huu uzi watasingizia wanawake ndio chanzo cha wao kufanya hayo,
Ni dhaifu ndio maana wanajificha kwenye kivuli cha kulaumu wanawake 24/7.
 
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.

Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba wananchi wenye hasira wamefikia hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa matukio kadhaa ya watoto kupotea.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Igoma ''A,'' Kata ya Isanga, Damian Mwasanguti, amesema kuwa mtu huyo aliyeuawa kwa kuchomwa moto, sio mkazi wa eneo hilo, huku akilaani kitendo cha ukatili kilichofanywa, dhidi ya mtoto.

“Kama kiongozi, baada ya kupata taarifa, nililazimika kufika eneo la tukio na kumkimbiza mtoto huyo hospitali...mtuhumiwa alikuwa akishambuliwa na wananchi lakini baadaye tukapigiwa simu kuwa amepoteza maisha baada ya kuchomwa moto,” amesema.

Baba wa mtoto aliyefariki, Benjamin Mwashilindi, ameiambia Mwananchi Digital kuwa yeye anarejea nyumbani kwake toka safari kikazi Makambako, mkoani Njombe, alipigiwa simu kuwa kuna tukio la mwanaye kulawitiwa na kupoteza maisha.

“Nilikuwa nimefika eneo la mlima nyoka nililazimika kuchukua usafiri wa pikipiki ili kuwahi ambapo nilipofika nyumbani nilikuta eneo la tukio kukiwa na mabegi na ndipo nikampigia simu mwenyekiti kujua wako wapi kwa muda huo,” amesema.

Kwa upande wake mjumbe wa nyumba kumi, Hadija Binti Masudi amesema akiwa anatoka kwenye shughuli zake za kuuza nguo, alisikia kelele za wananchi wakisema mtoto analawitiwa, ndipo alipotoka na kukuta akiwa hana nguo.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa mashuhuda ambaye pia ni jirani na jengo (pagala) ambalo kitendo hicho kinaidaiwa kufanyika, Shadrack Isaya, amesema alipopita katika eneo hilo alihisi harufu mbaya.

“Lakini nilipojaribu kusogea nikaona kuna njemba amevua suruali na nilitafuta upenyo zaidi kuona kulikoni, nikagundua chini yake kulikuwa na kama mtoto mdogo,” amesema na kuongeza;

“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,” amesema.

Amesema kuwa baada ya kuona anaelemewa alitoa kisu na kumtishia huku akimueleza atakuja kufa kizembe ndipo wananchi walipojitokeza na kuanza kumshambulia kwa kipigo.

Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana, hata hivyo juhudi za kumtafuta kamanda huyo bado zinaendelea.

MWANANCHI
Ooh maskini mtoto, malaika wetu amekatishwa maisha kikatili hivyo. Inatisha, inasikitisha na kufedhehesha sana sana

Huyo jinamizi alipaswa kufa mara nyingi zaidi ya hiyo express fadeout aliyopewa.
 
Back
Top Bottom