Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,239
14,212
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
 
"""Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika."""

Umeongea vizuri sana ila nataka nijue unaposema joto kali unamaanisha kuanzia C ngapi au K ngapi ?
 
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
Kama ingekuwa kweli wazungu wangekuwa wamefutika duniani.
 
Hakuna siku niliyooga maji ya barid hata mchana likapiga jua kama la jangwani lazima nichemshe maji kias kwamb watu wa karibu huniona kama nimepewa mashart na mganga, lakin kila nikitungisha mimba ni dume mtoto wa kumi sasa mtaan 8 kwenye ndoa wawili wote wa kiume tu had wake za watu wanaotaman mtoto wa kiume wanani bembeleza kinoma,, sema nini mtoa mada shahawa tu zinakuwa nyepesi sanaa sijawah kojoa bao zito la na niki lala na mwanamke hata iweje huwez nikuta nimekuwa mchovu nikimaliza sex kwenye kunyakua viroba
 
Huu utafiti wa kibongobongo ambao always sio wa kweli. Nchi zinazoongoza kwa baridi nyingi wanaume wao wanaoga maji ya baridi?? Na mbona zina idadi kubwa ya watu??
 
Hakuna siku niliyooga maji ya barid hata mchana likapiga jua kama la jangwani lazima nichemshe maji kias kwamb watu wa karibu huniona kama nimepewa mashart na mganga, lakin kila nikitungisha mimba ni dume mtoto wa kumi sasa mtaan 8 kwenye ndoa wawili wote wa kiume tu had wake za watu wanaotaman mtoto wa kiume wanani bembeleza kinoma,, sema nini mtoa mada shahawa tu zinakuwa nyepesi sanaa sijawah kojoa bao zito la na niki lala na mwanamke hata iweje huwez nikuta nimekuwa mchovu nikimaliza sex kwenye kunyakua viroba
ila hii ya wawili ndani do!
 
Kwanini nisielewe wewe mzee?

Mikoa yenye baridi asilimia kubwa ya watu huoga maji ya moto ila hizo stori za ugumba hakuna.

Tafiti nyingine muwe mnaachana nazo.
Haya turudi shule kidogo.

Scrotal temperature inachangiwa kwa kiasi kikubwa na surrounding enviroment na kiasi kidogo kutoka mwilini, ndio sababu iko nje ya mwili.

Sasa maeneo yenye baridi kali yanabeba degree joto ndogo, hivyo kuifanya surrounding environment ya scrotum kuwa ndogo, which is favorable, right?

Kisha nakuja kukusahihisha, watu wanaoishi kwenye maeneo yenye baridi kali, hawaogi maji ya moto moja kwa moja, huwa ni maji ya uvuguvugu (Kwa sababu maji yakikaa muda mrefu bila kutumika yanachukua temperature iliyopo kwenye surrounding, hivyo lengo la kupasha moto ni kuyarudisha kwenye joto la kawaida). Na kama wakioga maji ya moto kabisa, basi ina counterract na surrounding temperature, hivyo inaunda temperature difference ambayo still ina scrotal favorability kwa uhifahi mzuri wa mbegu.

Finally, kwa faida yako tu nikwambie, watu waliopo kwenye maeneo ya joto wanatengeneza number nzuri ya sperm count kwa sababu wako exposed na low degree temp ambayo ni nzuri kwa sperm production, hivyo hata ikatokea sababu ya kuharibu sperms ni maji moto, basi itachukua small number of sperm count na condition will be well compensated.

Usipoelewa na hapo, nanyoosha mikono juu!
 
Back
Top Bottom