kusababisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

    Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado haijajulikana ni kampuni ipi ya dawa ya maumivu ambayo inaweza kuwa chanzo ambapo miili...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin alalamikia USA kwa kusababisha vita vya Ukraine vichukue muda mrefu

    Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine. Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa. ============= Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Johnson & Johnson kuacha kuuza Poda ya Watoto kwa Madai ya Kusababisha Saratani

    Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji Mnamo 2020, J&J ilitangaza kuwa itaacha kuuza talc Baby Poda katika nchi za Marekani na Canada kutokana na kile ilichokiita...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  5. Gama

    JamiiForums Tanzania Kirusi kipya kinachosambazwa na mbu kinaweza kusababisha kiharusi na kifo

    Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi ========= US health officials brace for...
  6. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu linaweza kusababisha matatizo makubwa kwa wengine wakauawa au wakapoteza vitu vya thamani

    “Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV. Jaribio la...
  7. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Manyara: Basi la Mohammed Classic lapata ajali na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi 26

    Basi kampuni ya Mohammed Classic ya kutoka Arusha-Kigoma imepata ajali Eneo la Gehandu Hanang mkoani Manyara. ============================== Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga amesema: "Ajali hiyo imetokea imetokea Kijiji cha Ming’enji Wilaya ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  10. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini. Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinaweza kusababisha shahidi kukataa kuendelea na cross examination?

    Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Gongo yatajwa kusababisha saratani ya tumbo

    Utafiti mpya uliofanywa na wanasayansi wa shirika la kimataifa la utafiti wa saratani, IARC na wale kutoka Kenya, Tanzania na Malawi umebaini pombe kuwa kinywaji hatarishi na kichocheo cha saratani ya tumbo, ESCC, hususan miongoni mwa wanaume. Ukiwa umechapishwa katika jarida la kitabibu ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Pombe ya Simba yatajwa kusababisha vijana kuvimba mashavu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu. Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    Ni leo tena. Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi. Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
  15. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini, Tozo zitazalisha EPA nyingine au ufisadi Mkubwa mwingine

    Tunaimbiwa mapambio mazuri kila siku kwa sababu ya Tozo. Tozo inajenga madarasa Tozo inajenga vituo vya afya Tozo sijui inajenga barabara Tozo imeleta sijui vitu kedekede Wakati huo huo tunakopa mabilioni na mabilioni kutoka taaisisi mbalimbali za fedha. Sasa hayo madarasa yanajengwa na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Askari kujaa ndani ya mahakama kuzuia raia kukai haiwezi ukawa mtego wa wao kusababisha taaruki wapate sababu yakusema raia wamefanya fujo?

    Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini dawa ya Tylenol ilisimamishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa malalamiko ya kusababisha vifo

    Ukisikia jina Johnson and Johnson si geni kwa watu ila nitapenda kueleza dawa ambayo ilikuja kuleta matatizo ambayo ni tylenol huko USA. Ni aina ya kundi la Paracetamol pia inajulikana kama acetaminophen, ni dawa inayotumiwa kutibu homa na maumivu kidogo hadi wastani. Katika kipimo cha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo: Wanaopotosha Kuwajibishwa kwa Vifo wanavyoendelea Kusababisha

    Kwa mujibu wa Waziri Mollel: 1. Suala la ugonjwa wa Corona na tahadhari zake zikiwamo chanjo ni suala la kisayansi ambalo si kila mtu anaweza kuwa na ujuzi nalo. 2. Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watu bila ya kuwa na ujuzi nalo wamelivalia njuga na kuendelea kupotosha watu. Kwa mujibu wa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kama Mwenyekiti wa Chama atajihusisha na Ugaidi na chama hakifutwi, kosa gani linaweza kusababisha chama kufutwa?

    Kwanza naomba nieleweke kwamba, Huu uzi hauongelei chama chochote, isipokuwa unaangazia makosa ambayo yakifanyika ndani ya chama chochote, na nani ndani ya chama endapo atafanya makosa yanayopita uwezo wa kustiliwa hadi kupelekea kufutwa kwa Chama, Kama M/kiti wa chama husika, anajihusisha na...
Back
Top Bottom