Kwa vijana wa kiume mnaosumbuka kupata mabinti, Nawapa mbinu rahisi zaidi ambayo niliitumia enzi zangu,

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu.

BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE,

Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona anaendana ama kumzidi baba yake alivyo kwa vitu positive basi ni rahisi sana kumpata. ndio maana binti akidata na penzi lako hukuita my daddy / baba yangu.

Wekeza nguvu zote kuhakikisha unafanya vile vitu anavyopenda kutoka kwa baba yake, ni kama vile unashindana na baba yake, hii ndio silaha kuu.

mtreat kama mtoto wako onyesha hata kwa kufeki unajali sana vitu anavyofanya uwe unamuambia asubiri uchunguze kama ni salama ama kinamfaa (sometimes jifanye hujui chochote kuhusu anachofanya ila uje umwambie umechunguza siku nzima kwajili yake),

Mbebe kama mtoto mdogo inapobidi hata iwe hadharani,

muadhibu / mkaripie pale anapokosea kitu flani baada ya kumuelekeza sana na kumuonya ( usiwe soft kupitiliza)

Jaribu kuwa mtanashati na uvae kiheshima, najua wengi mtanicheka lakini amini usiamini mabinti wengi huwa wanalichulia kwa uzito suala la kijana kuvaa kiheshima, wao huwa wanaangalia kwa kigezo cha jinisi baba zao wanavyovaa suruali za marinda, kaunda suti ama kanzu
 
Shikamoo Babu!!!!

Enzi zako sio enzi zetu!!!!!

Syllabus zimebadirika!!!
 
ww hujakutana na micharuko vichwa vibovu ht uwe km sharkan ni saw na bure wanawake hawana formula wallah
 
Concept nzima na mifano karibu yote safii kabisa ila huo mfano wa mwisho ni very subjective, Ebu angalia kwenye clubs na kumbi za starehe mademu wakali wanatembea na vijana waliovaa mavazi gani. Mademu wengi wa kishua na wakali wanapenda masela, wanapenda waliovaa fashini za kisasa, mapigo fulani ya kinywmwezi. Wewe endelea kuvalia misuti yako kuna siku utanikumbuka.
 
Back
Top Bottom