Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
455
Hellow ....

Wapendwa,
Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business......

Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya?

Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja

Na ninapost kila siku......

Nimegundua kuwa Hakuna mtu mpya anaona bidhaa zangu, wale wanaoona ni wa siku zote.

Nahitaji kutengeneza jina na kupata wateja wapya kwenye online business, kabla sijafungua office kamili

Nimeona niwekeze kwanza kwenye kuwatafuta wateja.

Nifanye Nini ili nipate wateja wapya kila siku?
 
y

yah ni kweli kabisa wengne tuna ideas kubwa sana biashara ambazo zitaleta ajira kaa vijana tz, zitatunza mazingira, ila sasa pakuanzia , maana ni wazo heavy kweli kweli, SISIEM watataka niwe nao benet ili nitoboe, aisee kuwa na kampuni au kiwanda hii nchi Ni ujipange.
Ujipange kweli kweli, ujizatiti
 
Kama Ina akaunti kwenye mitandao kama X,Fb n.k,lipia ads na wafuate wale influencers pia,wapost matangazo yako kwa wewe kuwalipa.
 
Habari, yeah unaweza ukaalipia kutangaza online ila inabidi niwe mkweli kwako, kama bidhaa unayoiuza ukiiweka barabarani hakuna mtu anatekuja kuulizia hata mtandaoni itakua hvyo hvyo...

Angalia kwanza bidhaa unayouza, bei, muonekano na wengine wanaouza wanafanyaje...baada ya hapo ukiona ni product inayopendwa na kutafutwa ndipo unafanya marketing mtandaoni
 
Sawa
 
Mitandao gan unatumia kupromote bidhaa zako,unatumia jina gan tuone unavo push tupate cha kukushauli
 
Back
Top Bottom