Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
464
Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha.

Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC unalipa bills na kujinunulia umeme halafu mwisho wa siku huduma hizo hakuna. Hii maana yake nini?

Unanunua kifurushi cha bima ya Afya ila siku unaumwa malaria tu daktari anakuambia dawa nzuri zipo ila bima ya Taifa imetuandikie tutoe aina fulani ya dawa ambazo ni cheap. Hii maana yake nini.

Unajipanga ununue gari halafu unakuta barabara hazitamaniki. Hii nayo imekaaje?

Nadhani wananchi tulipwe hardship allowance.
 
Sawa
FB_IMG_1709647459923.jpg
 
'Ukiwa na Akili timamu sawasawa kabisa kuishi Afrika ni mzigo mkubwa tena ni mateso makubwa sana.'
 
Nchi za wenzenu zenye hivyo vitu havikuja kwenye plate,nguvu ulizotumia kutafuta hizo hela kujenga nyumba zitumue kwenye kusaidia kutoa elimu kwa wenzako ili mfanye mageuzi.
 
Back
Top Bottom