Msaada: Napata tatizo kila nikijaribu kujisajili MCT

bK698

Member
Dec 20, 2023
12
9
Habari ya muda huu Wana JF,

Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information baada ya kuzijaza inaandika.. ERROR; Your registration number does not match with the end year of study

Sasa sielewi TATIZO lipo wapi labda kama Kuna mtu ana uzoefu na mambo hao
 
Back
Top Bottom