kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa. Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  3. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kwanini NIDA inalipisha 500 TZS kupata taarifa zetu?

    Kwa muda mrefu sasa ,serikali imekua ikitoa matamko kua inataka watanzania watambulike kwa utambulisho sahihi , kwa nchi yetu Tanzania NIDA wamejitahidi sana tumepata vitambulisho karibu asilimia kubwa ya Watanzania. Kinachofanyika kwa sasa ,kampuni yeyote ikitaka kufanya name...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata kazi hoteli za Zanzibar

    Habarini wanajamvi ningeenda kujua, eti kupata kazi za hotelini Zanzibar lazima ujuane na kiongozi yeyote? Je, kipindi cha low season kuna hotel ambazo hazifungwi? Ni zipi?
  5. Dr. Said

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Nikikwambia kuwa unaweza kumiliki mashine yenye uwezo wa kukuletea wateja kwenye biashara yako utaniamini? Wateja wenye pesa mkononi tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa? Wengi nikiwaambia hili jambo nyuso zao zinakunjika kwa mshangao na kuona kama jambo lisilowezekana kabisa. Wakati...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Try Again: Tunaenda kupata ushindi Misri.

    "Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa. — Mwenyekiti wa Bodi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' "Mimi naamini kwa timu tuliyonayo, kwa...
  8. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni lini Mashirika ya serikali yatajiendesha bila ya kupata hasara?

    Salaam! Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania GPA ya ngapi inahitajika kupata tutorial assistant

    Nilikua nauliza ni GPA ya ngapi inahitajika kua shortlisted kwenye interview za tutorial assistant katika vyuo vya umma
  12. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata control number mtandaoni TRA

    Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7 na Kupata Ujauzito

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba. Credit: Dr. Kala
  14. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

    Wakuu msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo.
  18. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mwana JF hapa unaweza kupata alama ngapi?

    1. Hujawahi kunywa pombe 2. You've never watched porn 3. You've never cheated on your patner 4. You've never fought with someone since you were born 5. Kukaa siku nzima bila kula
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli na tuache unafiki, kwa kikosi kile cha Azam nani anaweza kuthubutu kupata hata sare?

    Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe halikucheza, Bajana hakucheza, ina michezaji ya hatari iko kule Africa Kusini ikipatiwa matibabu. Hawa...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
Back
Top Bottom