kunywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Kunywa maji ya Moto baada ya kufanya mazoezi

    HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU! Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya. Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunywa wine yako

    Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo. Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
  4. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Peace, Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka. Nimekuwa nikisikia na kuona vijana wengi wakipendelea vinywaji vya kusisimua mwili alimaarufu "energy drinks" ziko za aina...
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

    Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
  10. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  11. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  13. Sundii

    JamiiForums Tanzania Kunywa maji baada au kabla ya kula?

    Habari za sahizi. Naomba ufafanuzi wa kina!! Hivi Ni wakati gani sahii/mzuri wa KUNYWA MAJI? KUNYWA mdji KABLA ya Kula? Au KUNYWA MAJI BAADA ya Kula? Elezea na sababu za kisayansi kabisa
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

    Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho. Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi? Ndani ya...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania KWELI Sio kila maji ya mvua ni salama, baadhi hayafai kwa kunywa

    Salaam wakuu, Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na hata mazao. Sasa kwa matumizi ya nyumbani ni pamoja na kuyatumia kwa kunywa bila kuyafanyia...
  16. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Napenda ngono ila nimegundua haina faida kwenye michongo ya kupata pesa afadhari kunywa pombe

    Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya kupata pesa. Naendelea kutafakari angalau nibaki na mademu wanne tu. 💯💯💯
  17. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

    Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia. Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados. Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

    "Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari. Katika Pombe...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
Back
Top Bottom