HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

Makox

Senior Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
134
Reaction score
175
Habari ndugu zangu wanajamii forum,
Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria.
Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa.

Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja kuwashukuru. Leo nimekuja mnisaidie jinsi ya;

1. Kudai stahiki zangu za mishahara ambayo sikulipwa nikiwa nje ya kazi (Miezi kumi na saba)

2. Kudai kupandishwa cheo/Madaraja kulingana na miongozo sahihi, Kwa kuwa ninazungushwa sana wakati ni haki yangu.

3. Kudai FIDIA, Kwa kuwa nilitengenezewa kesi na nilishinda kutokana na upande wa walalamikaji kukosa ushahidi nikiwa nimekwishadharirishwa na kuathiriwa kiuchumi na kisaikolijia. Je FIDIA ipo kisheria Kwa WATUMISHI wanaposhinda kesi?

4. Niunganisheni na wanaopitia changamoto za kufukuzwa kazi na hawajui Cha kufanya angalau ninauwezo wa kuwapa abc.
KWA HESHIMA YA PEKEE NINATANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI.🙏🛐
 
Kwanza baada ya kesi kuisha lazima ijulikane hatua ulizochukua kwa Mwajiri wako, Mana unasema unazungushwa, Unazungushwaje? Je ulimwandikia barua Mwajiri kuomba stahiki zako ikiwemo daraja? Kama unadai kwa mdomo hata miaka kumi itapita na utazungushwa tu, Sema wewe ulifanya nini hadi sasa.
 
Nimefuata taratibu za kiutumishi mkuu. Niliandika barua za madai ya Madaraja pamoja na mishahara yangu. Upande wa Mishahara nilijaza Arrears form Nina ilishahakikiwa na kuwekwa kwenye mfumo. Tatizo ni kipindi kirefu mpaka sasa.
 
Nimefuata taratibu za kiutumishi mkuu. Niliandika barua za madai ya Madaraja pamoja na mishahara yangu. Upande wa Mishahara nilijaza Arrears form Nina ilishahakikiwa na kuwekwa kwenye mfumo. Tatizo ni kipindi kirefu mpaka sasa.
 
Habari ndugu zangu wanajamii forum,
Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria.
Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa.

Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja kuwashukuru. Leo nimekuja mnisaidie jinsi ya;

1. Kudai stahiki zangu za mishahara ambayo sikulipwa nikiwa nje ya kazi (Miezi kumi na saba)

2. Kudai kupandishwa cheo/Madaraja kulingana na miongozo sahihi, Kwa kuwa ninazungushwa sana wakati ni haki yangu.

3. Kudai FIDIA, Kwa kuwa nilitengenezewa kesi na nilishinda kutokana na upande wa walalamikaji kukosa ushahidi nikiwa nimekwishadharirishwa na kuathiriwa kiuchumi na kisaikolijia. Je FIDIA ipo kisheria Kwa WATUMISHI wanaposhinda kesi?

4. Niunganisheni na wanaopitia changamoto za kufukuzwa kazi na hawajui Cha kufanya angalau ninauwezo wa kuwapa abc.
KWA HESHIMA YA PEKEE NINATANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI.🙏🛐
Wajuzi mnahitaji huku tumsaidie mwenzetu mpigania haki yake kwa kumuelekeza njia sahihi🙏
 
Nimefuata taratibu za kiutumishi mkuu. Niliandika barua za madai ya Madaraja pamoja na mishahara yangu. Upande wa Mishahara nilijaza Arrears form Nina ilishahakikiwa na kuwekwa kwenye mfumo. Tatizo ni kipindi kirefu mpaka sasa.
Sawa, Kwa upande wa daraja ulishapanda? Kama ulipanda ni mwaka gani? Ili sasa tuangalie utaratibu wa arrears.
 
Nimefuata taratibu za kiutumishi mkuu. Niliandika barua za madai ya Madaraja pamoja na mishahara yangu. Upande wa Mishahara nilijaza Arrears form Nina ilishahakikiwa na kuwekwa kwenye mfumo. Tatizo ni kipindi kirefu mpaka sasa.
Mwajiriwa wa gavoo?
 
Back
Top Bottom