kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kazi yenye thamani kubwa kuliko zote Duniani

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. Sifa kuu ya KAZI, ni iwe halali, pili iwe na malipo ya kuweza kukusustain maisha Yako, yaeza kuwa umejiajiri au umeajiriwa, KAZI ni KAZI, ilmradi mkono uende kinywani. KAZI pia Si Kwa ajili ya kujipatia kipato pekee, KAZI pia ni Kwa ajili ya AFYA pia, ndo maana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wivu siyo asili yetu afrika, Bali ni janga linalotutafuna kuliko bangi

    Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo! "Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu" "Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa" "Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tulikuwa salama zaidi Mikononi mwa Ujamaa kuliko Tulivyo sasa Mikononi mwa Ubepari/Ubeberu

    Amani iwe nanyi nyote. Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo sasa. Uchumi wetu ulianza kuyumba mara tu awamu ya pili chini ya Mzee Ruksa, Alhaji Ali Hassani Mwinyi...
  6. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    TULIMPISHA RAIS SAMIA. "Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo Katibu Mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimegundua makazini, watu wengi wanaogopa bosi wao, kuliko wanavyomwogopa Mungu

    Habarini, Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea. Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Napata hamu sana ya kujamiana kuliko raha ya tendo lenyewe

    Habari wataalam na wenye hekima, Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki. Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ni vichafu na vimechoka kuliko maelezo

    Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ndani ya Dar es Salaam kuna kero ya vyoo ambayo ni hatari kwa watumiaji. Vyoo hivyo vya ni vichafu kwa ndani, vinanuka harufu kali mno kuna uchakavu mwingi pia sasa ni zaidi ya miezi mitatu hakuna taa za chooni na chache zilizopo haziwaki, kila nikienda hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
  13. JamiiForums Tanzania Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

    Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu. Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ngenga makazini haziwezi kuisha. Binadamu wana roho mbaya kuliko wanyama

    We piga kazi nenda zako home. Kula zako Kangala changanya na Ambiace. Lala fofofo Asubuhi piga kimoja cha burudani, oga nenda kapige kazi.
  15. JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
  17. JamiiForums Tanzania Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
  18. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Israel Mbonyi ndiye mwanaziki anayekimbiza kuliko wote Afriki Mashariki kwasasa na kuwaacha hadi wakina Diamond kwa views Youtube

    Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki. Tumpe pongezi zake. Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini. Wimbo wa ninasiri umetoka...
  19. JamiiForums Tanzania Karne hii vifaru basi, huko Gaza vinabomolewa kuliko Ukraine

    Asee huko Gaza kuna rundo la vifusi na skrepa za vifaru, hamasi wanavibomoa sana. Kwanini media za kimagharibi hazitangazi kama zilivyotangaza vya Urusi kule Ukraine? https://youtu.be/GQ3eDg-UShA?si=8sJ9o-FJ0o_VcZ42 Hata vifo vya Waisraeli ni vingi mno, kama Israel iliweza kushinda waarabu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu za waume wengi kufa mapema kuliko wake zao?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…