BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire.
Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki.
Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari.
Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo.
Kwa sasa anapata hela kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan hana makusudi ya kurejesha Makao Makuu ya Serikali jijini Dar es Salaam na kwamba ameendelea kutekeleza na kutenga fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Dodoma kuliko maeneo mengine hapa...
Wakuu habari zenu,
Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....
Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.
Nlijiona tu siko sehemu...
Wana njaa sana na wao pesa mbele.
Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.
Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Urari wa biashara kati ya Tanzania na Kenya umeimarika sana. Leo niliona bungeni Rashid Shangazi akiliongelea hili nikaona nijiridhishe.
Kulingana na data za benki kuu ya Kenya kuishia mwaka jana Tanzania iliuza Kenya bidhaa zenye thamani ya trilioni 1.15 huku yenyewe ikinunua zenye thamani ya...
Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke.
Nawasilisha
Habari za Jumapili popote mlipo.
Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania.
Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
Habari!
Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts.
Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi.
Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi.
Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.
NATO sasa inawaza...
GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
Tokea utangaze kurejea rasmi CCM ni kama vile umerukwa ghafla na Akili kwani 'unabwabwaja' mno mpaka 'Unaboa' na wengine tunajiuliza hivi huyu huyu ni Membe yule yule aliyekuwa Waziri wa 'Foreign Docket' au?
Na nyie Watoto wa Mzee Membe hebu mshaurini basi Mshua wenu atulie tu ale Pensheni zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.