Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee CLEOPA DAVID MSUYA akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 amesema CHADEMA ni wazuri na mahiri wa kuchambua mambo kwa kina na lazima tujifunze kwao.

-
Hawa CHADEMA ni wachambuzi wa mambo kwa kina na ni lazima tujifunze kwao, kwamba wao kwanini wanajifunza hivi na bado watu wetu hawawezi kujifunza kiasi hichohicho mpaka tuegemee upande wa pili" - Mzee Msuya

Lakini bado CCM wanapewa kura na wananchi...

Wabongo ni viumbe wa kuwaweka makumbusho ya taifa...
 
Huyu mzee huwenda akawa kama Musa, Musa alikuwa ni mzee sana, licha ya huo uzee, lakini alikuwa na nguvu kama kijana mpaka anakufa

Mstaafu huyu licha ya uzee wake, lakini anaakili kumshinda hata mwezi wa kwanza! Yaani January!
 
Mwanasiasa mkongwe CLEOPA DAVID MSUYA amesema chadema ni wazuri na MAHIRI KWA KUCHAMBUA MAMBO KISOMI KULIKO CCM na amewataka ccm waige chadema wanavyofanya. Kauli hii ya msuya inanifanya nimtafakari Mwashambwa na post zake za kichawachawa .
Nimekushangaa sana kupata muda wa kumtafakari taahila mkuu
 
Nimemsikiliza ameongea maswala mbalimbali yanayo husu nchi ya Tanzania, itoshe tu kusema kwamba n'gombe hazeeki maini,licha ya umri mkubwa alionao lakini you can sense that, this man was a leader na busara zao bado zina hitajika.
 
Waziri mkuu mstaafu ambaye hana tabia ya konakona wala kujikomba popote Cleopa David Msuya kayasema hayo live katika ITV kipindi cha dakika 45 na wote tumeyasikia.

Na kasema wazi kuwa CCM haina uwezo wa kujibu hoja bali kutumia mkono wa Serikali (hii nadhani anamaanisha dola) kupush agenda zao lakini sio uwezo wa kuelezea.

Hii appreciation ya mkongwe huyu inatupa picha gani?

Hata umu jf watu wengi wa ccm ni wa hovyo hovyo tu, hakuna hata mmoja mwenye hoja ya maana

Vijitu vya ccm humu ndani vinachangia hoja kinjaa njaa sana, unaona kabisa kijamaa kitapeli, kinatapeli viongozi wa chama chake cha ccm

Kwa ujumla ccm haina watu makini, wengi ni matapeli wa nchi
 
Waziri mkuu mstaafu ambaye hana tabia ya konakona wala kujikomba popote Cleopa David Msuya kayasema hayo live katika ITV kipindi cha dakika 45 na wote tumeyasikia.
Na kasema wazi kuwa CCM haina uwezo wa kujibu hoja bali kutumia mkono wa serikali (hii nadhani anamaanisha dola) kupush agenda zao lakini sio uwezo wa kuelezea.
Hii appreciation ya mkongwe huyu inatupa picha gani?
View attachment 2739294
Kuna stage ya umri ikifika huogopi tena kuongea uhalisia hata kama utawakera wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu anakuja Mnyiha mmoja anajiita chawa wa mama, Lucas mwashambwa anaitukana CHADEMA, wewe, wewe, kama hujaanza kupungukiwa na nguvu za kiume, basi huu mwezi hauishi.
Na katika ulimwengu wa leo mtu anayeweza kuchambua hoja kwa kina ndiye anayestahili kuongoza kuliko watu waongo.
Ona sasa wanadanganya kuna akiba kubwa ya mafuta, lakini watu wanapambana vituoni kununua utadhani wako stadium kutazama mpira. Fedha ya kigeni tuna akiba ya kuendesha nchi miezi minne, lakini ukienda kwenye mabenki hata $500 hupati. Umeme pia uongo kila siku, Maji majiji hata Mwanza ni shida pamoja na ziwa kuwepo katikati ya jiji nk nk.
CCM imejaa uongo na ulaghai, ikiona mnachukia inawapeleka Kizimkazi mnaimbishwa taarabu na kukatiwa viuno hadi basi!
Mkitoka huko Hoi "kazi iendelee"
 
Chama cha Mazezeta, Chanzo Cha Matatizo.
Matatizo yote yanayolikabili taifa letu chanzo chake.ni CCM.
Elimu duni, miundombinu duni, afya duni, hamna majinsafi na salama. CCM imegeuka kuwa laana kwa taifa letu
 
Back
Top Bottom