The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,300
Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari
Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni watakuletea hesabu za uongo uongo kukuonyesha wanapata hasara nyingi kuliko faida.
Ukizingatia Mkataba huu DPW Hatakiwi kuingiliwa popote bora hata TICS, yaani tutapoteza hela nyingi mno. Kiufupi bandari yetu inaenda kutajirisha mataifa mengine ya waarabu
Kwa mtu aliyewahi kufanya kazi private sector atakunaliana na mimi..hawa jamaa wanapata hela nyingi sana huku serikali ikiambulia marupurupu tu ujanja ni mwingi sana.
Kuhusu kujengeana uwezo wataalamu wa ndani hilo ni uongo wa mchana kweupe..Tafuta Watz wenye nafasi za juu kwenye mashirika binafsi yenye miaka 20+ hukuti wachache sana mara zote wanapewa wageni tu...
Hata wanaopewa uzoefu watafika mahali watastaafu mnaanza upya ukizingatia mkataba hauna mda
KATAA UUZWAJI WA BANDARI