kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

    Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda watoa dau kwa atakayesaidia kukamatwa kwa magaidi ya ADF yenye mlengo wa kidini

    Mwenye taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa hawa magaidi yenye mlengo wa kiislamu, atapewa hela ndefu sana Police have offered at least Shs40million for information leading to the arrest of two alleged fugitive militants belonging to the Islamist rebel group Allied Democratic Forces (ADF)...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akamatwa kwa kutega bomu Poland, haya wazungu waanza kuvuna walichopanda

    Mwanamke akamatwa kwa kosa la kutega bomu kwenye nchi ya Poland. Bahati nzuri kule mifumo ya kiusalama iko imara sana, sio rahisi ufanikishe ugaidi. Wazungu waliachia hawa watu wajazane na kuzaliana huko kwao.... ==============================...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyeuza Pori la Akiba akamatwa

    Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Mbeya vimefanikiwa kumtia nguvuni Andrea Ngombeni mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto Wilayani Chunya Mkoa Mbeya kwa tuhuma za kuuza kipande cha ardhi katika pori la akiba la hifadhi Rungwa South linalopakana Mikoa ya Mbeya na Tabora. Mtuhumiwa Andrea ametiwa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Lijuakali aagiza polisi wamkamate Godbless Lema kwa uchochezi

    Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali ameagiza Jeshi la Polisi kumsaka popote alipo na kumkamata Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema ili ahojiwe kwa kauli za uchochezi alizozitoa kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 24,2023. Kwenye Mkutano huo ambao...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DED Halmashauri ya Igunga akamatwa, siku chache baada ya kudaiwa kuwepo kwa upigaji kwenye Halmashauri aliyotoka

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo. Mkurugenzi huyo alikamatwa Novemba 05, 2023 majira ya mchana wakati akiwa amerejea kutoka mkoani...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe atoa onyo kwa wanaotaka kutorosha vyandarua vya bure kwenda nchi za jirani

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 31.10.2023 amezindua zoezi la ugawaji wa vyandarua bure kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi lengo likiwa ni kutokomeza kabisa Ugonjwa wa Malaria kwa kuzuia visumbufu (Mbu) na maambukizo kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Zoezi hili...
  9. Lighton

    JamiiForums Tanzania Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha. Makala hii...
  10. 101 East

    JamiiForums Tanzania Momba: Kila Familia/Vijana ni lazima kulima Korosho na Ufuta

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa na polisi kwa kubaka na kulawiti watoto 2

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Miaka 80 akamatwa kwa kumiliki Gobole bila kuwa na kibali cha umiliki halali

    Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mzee wa miaka 80 mkazi wa Kijiji cha Madundasi Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya aitwaye PASCAL MWANGO kwa tuhuma za kupatikana na bunduki aina ya Gobole bila kuwa na kibali cha umiliki halali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumwingizia Panga mkewe sehemu za siri akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Makong’onda, wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara, akituhumiwa kumpiga mkewe kisha kumuingizia panga sehemu za siri (njia ya haja kubwa) na kumsababishia majeraha. Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, 2023; Kamanda wa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali huko Busokelo Rungwe

    Mwambata wa 'SAUTI YA WATANZANIA' na Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa, ameshindwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari uliotakiwa kufanyika mapema Jumatatu hii (Oktoba 09.2023) jijini Mbeya baada ya kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka hotelini alipofikia kwenda Ofisi ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ushelisheli: Mtanzania awekwa Mahabusu akihusishwa kumsaidia Mpinzani kwenye masuala ya Uchawi

    Ni Patrick Herminie, kiongozi wa Chama cha United Seychelles ambaye ametajwa kuwa tishio kwa Rais Wavel Ramkalawan anayehifia kuondolewa Madarakani baada Herminie kuonesha nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Waendesha mashitaka wamesema jina la Herminie lilipatikana kwenye...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

    Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi. Hii...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

    Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki...
Back
Top Bottom