kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Davido akanusha mzaha wa tuhuma za kukamatwa na dawa za kulevya nchini Kenya siku ya wajinga

    Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana kwenye ndege yake binafsi. Kufuata uvumi huo mwimbaji huyo wa Nigeria amesema atachukua hatua za...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
  3. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

    Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya. Demokrasia iko wapi au tume huru iko...
  4. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyeimba ‘Yesu ninyandue’ akamatwa na Polisi

    PRESS STATEMENT: GOSPEL ARTISTE WILLIAM GETUMBE ARRESTED OVER INDECENT CONTENT The Kenya Film Classification Board (KFCB) through its North Rift Regional Office, Eldoret, and with the support of Police from Kapsoya Police Station have arrested and detained Gospel artiste William Getumbe over...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  6. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkuu wa Mkoa feki akamatwa akisilikiza kero za Wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025 Hata wananchi walishamsahau wala hawajui kiongozi wao nani. Sasa leo kajitokeza Mkuu wa Mkoa feki wa Mbeya na kuanza kusikikikiza...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa Alama za Barabarani akamatwa

    JESHI la Polisi mkoani Tabora limemkamata Moshi, kwa tuhuma za uharibifu na wizi wa alama za usalama barabarani kutoka katika barabara mbalimbali katika mkoa huo baada ya kukutwa na alama zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 10 nyumbani kwake. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho wakati wakipitisha bajeti ya mwaka. Tukio hilo lilitokea baada ya baraza hilo kuazimia kumsimamisha...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi. Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi. === Zanzibar Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
  10. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa na fuvu linalodhaniwa kuwa ni la Binadamu na vipande vya ngozi wanyama pori kwenye begi la mgongoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha mwezi Januri,2024 tumefanikiwa kuendesha Operesheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma ambapo katika misako hiyo tarehe 07.01.2024 katika kijiji cha Nahoro, Kata ya Luegu Wilaya ya Namtumbo...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanafunzi wa Secondary akamatwa na wananchi kwa Wizi

    Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao. ANGALIA VIDEO HAPA 📹 SwahiliTimes
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM akamatwa kwa kumpiga makofi Mwenyekiti wake

    Diwani wa Kata ya Ilenda, Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mneke Mauna anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, akituhumiwa kumshambulia na kumpiga makofi Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Lazaro Lubalika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

    Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara: Trafiki akamatwa na Polisi akisafirisha Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Askari wa Usalama Barabarani kutoka Mkoani Arusha SGT Ismael Katenya (48) anayeonekana pichani, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi mabunda 340 yenye uzito wa kilo 140 iliyokua ameiweka ndani ya mabegi. Taarifa ya Polisi Manyara...
  17. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

    Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Mzawa wa Marekani bwana Karrem Nasr akamatwa kujiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa kidini

    Marekani itakuja kujutia kwa kuruhusu mazombi yaje na kuzaliana humo.... A New Jersey man arrested in Kenya has been charged for trying to aid terrorist group al-Shabaab, the US Justice Department said, alleging he was motivated by Hamas' Oct. 7 attack on Israel to wage violence. The arrest...
Back
Top Bottom