101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote.

Hatua hii inatokana na Serikali ya Halmashauri ya hiyo kuja na mkakati wa kutoa elimu na kuhimiz kila Mwananachi mwenye umri kuanzia miaka 18 kuchangamkia fursa ya kilimo cha ufuta na korosho ambacho kimeonekana kufanya vizuri na kwa tija kwa Wakulima wa Momba.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Momba, Methew Chikoti amesema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza kero za Wananchi akiambatana na Madiwani wa Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi.

Chikoti amesema Halmashauri imejipanga na imeishaandaa mbegu bora za ufuta na korosho kwa ajili ya kuwagawia Wananchi kwa utaratibu mzuri ambao umepangwa na Wataalamu.

"Tunataka kuona kila kaya ndani ya Momba inalima ekari moja ya ufuta au zaidi na kwa zao la korosho lengo letu ni kuona kila kaya inaandaa na kulima nusu eka ya korosho ili Wakulima wetu wapate fedha kupitia mazao aya na kuondokana kutegemea kilimo cha mpunga na mahindi, lengo letu ni kuona kila mmoja analima na kupata fedha kwa ajili ya kukuza uchumi wa Familia yake pamoja na wa Halmashauri ya Momba”
 
Sio kwamba vijana watavutiwa wenyewe pale watakapoona hao waliolima wanazidi kutusua kutokana na bei nzuri na imara ya mazao ya korosho na ufuta katika soko la nchini na soko la kimataifa.

Atakayeweza kuisoma hiyo sentensi yote ilivyo atakuwa na lung capacity kubwa sana. Jichallenge ebu🥂🤤.
 
Serikali ya Wilaya ya Momba imeazimia Kila Kijana kulima shamba la Korosho na ufuta Kwa lazima na atakayekaidi Kutiwa Mbaroni na kupewa adhabu Kali ikiwemo kulimishwa mashamba ya wengine.

--
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote.

Hatua hii inatokana na Serikali ya Halmashauri ya hiyo kuja na mkakati wa kutoa elimu na kuhimiz kila Mwananachi mwenye umri kuanzia miaka 18 kuchangamkia fursa ya kilimo cha ufuta na korosho ambacho kimeonekana kufanya vizuri na kwa tija kwa Wakulima wa Momba.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Momba, Methew Chikoti amesema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza kero za Wananchi akiambatana na Madiwani wa Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi.

Chikoti amesema Halmashauri imejipanga na imeishaandaa mbegu bora za ufuta na korosho kwa ajili ya kuwagawia Wananchi kwa utaratibu mzuri ambao umepangwa na Wataalamu.

"Tunataka kuona kila kaya ndani ya Momba inalima ekari moja ya ufuta au zaidi na kwa zao la korosho lengo letu ni kuona kila kaya inaandaa na kulima nusu eka ya korosho ili Wakulima wetu wapate fedha kupitia mazao aya na kuondokana kutegemea kilimo cha mpunga na mahindi, lengo letu ni kuona kila mmoja analima na kupata fedha kwa ajili ya kukuza uchumi wa Familia yake pamoja na wa Halmashauri ya Momba”

--

My Take
Hawa wanaotoa haya maagizo wameshalima ekari ngapi za mfano Kwa Vijana?

Vijana msikubali huu upuuzi,Kila mtu afanye kazi anayoona Ina manufaa ila ambae hana Kazi maalumu ndio ashughulikiwe.
 
Tumerudi enzi za TANU?.

Nchi hii ,hao vijana mashamba wanapatiwa? Wapeni vijana mitaji kila mtu apambane na fulsa anayopenda ,sio kulazimishana mambo ya kijinga
 
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa...
Huyo anakwenda kizamani, hafai kabisa.

Namshauri angekaa chini na Waziri Bashe apewe njia za kufanya kuelekea BBT.

Huyo Mkuu wa Wilaya hapo aamefeli kabisa, uongozi siyo kujimwambafai, uongozi ni sanaa.
 
Hiyo ni kichekesho kisiasa😅
Zama hizi ulazimishe watu kulima?, ingekua kubet sawa.
 
Waende wakalime wao

Na huko lindi,mtwara mbeleni hilo zao

Wataachana nalo,sasa mtawalazimisha nao

Ova
 
Ukiwa kiongozi ukapungukiwa hekima ni janga,kilimo kikiwa na soko kila mtu atalima bila kushurutishwa.
 
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote.

Hatua hii inatokana na Serikali ya Halmashauri ya hiyo kuja na mkakati wa kutoa elimu na kuhimiz kila Mwananachi mwenye umri kuanzia miaka 18 kuchangamkia fursa ya kilimo cha ufuta na korosho ambacho kimeonekana kufanya vizuri na kwa tija kwa Wakulima wa Momba.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Momba, Methew Chikoti amesema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza kero za Wananchi akiambatana na Madiwani wa Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi.Chikoti amesema Halmashauri imejipanga na imeishaandaa mbegu bora za ufuta na korosho kwa ajili ya kuwagawia Wananchi kwa utaratibu mzuri ambao umepangwa na Wataalamu.

"Tunataka kuona kila kaya ndani ya Momba inalima ekari moja ya ufuta au zaidi na kwa zao la korosho lengo letu ni kuona kila kaya inaandaa na kulima nusu eka ya korosho ili Wakulima wetu wapate fedha kupitia mazao aya na kuondokana kutegemea kilimo cha mpunga na mahindi, lengo letu ni kuona kila mmoja analima na kupata fedha kwa ajili ya kukuza uchumi wa Familia yake pamoja na wa Halmashauri ya Momba.

Millard Ayo
 
Back
Top Bottom