Mbeya: Aliyeuza Pori la Akiba akamatwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Mbeya vimefanikiwa kumtia nguvuni Andrea Ngombeni mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto Wilayani Chunya Mkoa Mbeya kwa tuhuma za kuuza kipande cha ardhi katika pori la akiba la hifadhi Rungwa South linalopakana Mikoa ya Mbeya na Tabora.

Untitled-1_0.jpg

Mtuhumiwa Andrea ametiwa nguvuni kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumsaka mtuhumiwa baada ya kufika eneo la msitu wa hifadhi ya pori la akiba na Rungwa South likiwa limefyekwa na kuelezwa kuwa eneo hilo limeuzwa kwa mmoja wa wananchi kutoka Mkoani Tabora.

Homera amesema kuwa mtuhumiwa amekuwa na utaratibu wa kutafuta watu na kwenda nao katika msitu huo na kuwauzia baadhi ya maeneo kwa kuwakatia kila mteja kipande cha ardhi kwa kuanzia ekari 200 –400 kwa ajili ya kilimo na mifugo.

‘Hivi ninavyozungumza mtuhumiwa amekamatwa na yupo ndani kituo cha Polisi Mbeya ili azidi kuwataja na wenzake waliokuwa wanafanya hiyo kazi ya kuuza pori sehemu ya Rungwa South ambacho ni kitalu kikubwa cha uwindaji na kimekuwa kinaiingizia mapato Serikali na fedha za kigeni’ amesema Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.

Mtuhumiwa yupo kituo cha Polisi na baada ya taratibu zote kukamilika atafikishwa mahakamani muda wowote kwa kosa na kuuza Sehemu ya Msitu wa Pori la akiba na Msitu wa Rungwa South.

Pia soma: Mbeya: Mwamba auza sehemu ya pori la akiba Rungwa
 
Tabora si iko kati huko inapakanaje na Mbeya?
Ulitoka Chunya unapita Makongolosi then Lupa, halafu vijiji kadhaa na unakutana na Mkoa wa Tabora Wilaya ya Sikonge. Hata malori yanayotoka Mbeya kwenda Tabora yanapita sana hiyo barabara badala ya mzunguko mkubwa kupitia hadi Rukwa na Mpanda Katavi. Barabara ni vumbi kuanzia Makongolosi ila ipo kwenye mpango wa lami. Ni almost 500+ Kilometers
 
Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Mbeya vimefanikiwa kumtia nguvuni Andrea Ngombeni mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto Wilayani Chunya Mkoa Mbeya kwa tuhuma za kuuza kipande cha ardhi katika pori la akiba la hifadhi Rungwa South linalopakana Mikoa ya Mbeya na Tabora.

Mtuhumiwa Andrea ametiwa nguvuni kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumsaka mtuhumiwa baada ya kufika eneo la msitu wa hifadhi ya pori la akiba na Rungwa South likiwa limefyekwa na kuelezwa kuwa eneo hilo limeuzwa kwa mmoja wa wananchi kutoka Mkoani Tabora.

Homera amesema kuwa mtuhumiwa amekuwa na utaratibu wa kutafuta watu na kwenda nao katika msitu huo na kuwauzia baadhi ya maeneo kwa kuwakatia kila mteja kipande cha ardhi kwa kuanzia ekari 200 –400 kwa ajili ya kilimo na mifugo.

‘Hivi ninavyozungumza mtuhumiwa amekamatwa na yupo ndani kituo cha Polisi Mbeya ili azidi kuwataja na wenzake waliokuwa wanafanya hiyo kazi ya kuuza pori sehemu ya Rungwa South ambacho ni kitalu kikubwa cha uwindaji na kimekuwa kinaiingizia mapato Serikali na fedha za kigeni’ amesema Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.

Mtuhumiwa yupo kituo cha Polisi na baada ya taratibu zote kukamilika atafikishwa mahakamani muda wowote kwa kosa na kuuza Sehemu ya Msitu wa Pori la akiba na Msitu wa Rungwa South.

Pia soma: Mbeya: Mwamba auza sehemu ya pori la akiba Rungwa
Huyu anaona viongozi wanauza maliasili zetu Kwa wageni naye Ameanza kuuza Kwa wananchi!
 
kila mtanzania ajiongeze!!
 
Tabora si iko kati huko inapakanaje na Mbeya?
inapakana vizuri tu... Sisi wazee WA pori Kwa pori tumepita tabora na kutokea mbeya. Pia Mama Samia alipokuwa Singida mwezijana amezindua ujenzi wa barabara itakayopita mbeya kutokea singida na tabora
 
Back
Top Bottom